Kuna mpenzi wangu tulikuwa pamoja. Anakuwaga na tabia ya kununa nambembeleza anarud kawaida.
Sasa jumapili alikuja kwangu akanitunuku vizuri tu. Sema Kuna kitu kidogo nilifanya akakereka. Aliniuliza swali nikamuambia tulishaongea asiulize muda huo akawa kamind kidogo. Tulimaliza akaenda vizuri tu. Tukachat kuwa kafika lakin nimemkera. Ila kesho yake aligoma kupokea simu, hata text hajibu mpaka now. Kanuna. Sasa nambembelezaga anarudi kawaida. Now naona kanikazia kanuna kweli kweli. Text hajibu kakaa kimya.
Mwanamke wa kununa nuna hivyo mnamfanya je? Mimi nimeamua kwenda naye mdogo mdogo tu. Hebu semeni nichukue maujuzi.