Kansiime Quotes

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
IMG-20170413-WA0015.jpg
 
Afadhali kaweka kwenye maandishi.Angezungumza ingekuwa balaa tupu.Kama hii ya Ladies..... ungesikia:"Radies..........."
Huyu dada ana tatizo kubwa sana la 'l' na 'r' na ndo maana comedies zake nakaa nazo mbali.
Kansiime ni comedian na kila kitu anachofanya ni comedy, wewe hujui tu na una chuki zako mwache mdada wa watu apige mpunga anajitahidi. Ulitaka anyooshe kila kitu yeye Lecturer??
 
Hutakiwi kuhukumu matakwa yangu ya vitu nivipendavyo na nisivyopenda kwa maneno mengine usiingilie uhuru wangu. Anne Kansiime kajitambulisha kuwa comedian afrika mashariki.Comedian yeyote anatakiwa aweke lugha yake vizuri, ila kwa kansiime anavuruga sana 'l' na 'r'.Hii kwangu inampunguzia marks.
 
Inafaa uelewe hiyo ni sehemu ya igizo maana huigiza kama Mganda hivyo lazima atumie lafudhi ya Kiganda. Kwani huko kwenu kila comedian huongea Kiswahili cha Kizaramo?? Hamna wanaoigiza kwa lafudhi za mikoani lakini ukija kuwaskliza wakiwa nyumbani unakuta wanaongea vizuri tu.
 
Hapana MK254! Kama anaiga matamshi/lafudhi ya kiganda inatakiwa theme anayoizungumzia iwe ni lets say: "The Way My Luganda Friends Talk".Lakini haiwagi hivyo.Unakuta theme ni mambo tu ya kawaida ya kila siku lakini utasikia loads badala ya roads, islael badala ya israel nk nk. Si kwamba namchukia au kumwonea wivu, la hasha.Nimetokea tu kukerwa sana na uchanganyaji wa 'l' na 'r'.
 
Hehehehe! Halafu uolewe kijijini kwetu ndio utakoma maana watu wa kabila langu wana matatizo sana kwenye matumizi au tofauti za L na R.
 
Kabila gani huko kenya lenye matatizo ya 'l' na 'r'.Wakikuyu tatizo lao ni 'dh' na 'th'. Thelathini wanasema dheladhini.
Wakamba tatizo lao ni 'd' na 'b', dada wanasema ndada na obey wanasemaga ombey.
Kisii, Luo, Luya sijui sana matatizo yao ya lugha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom