Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,206
Nimemkomesha. Kanitumia nauli akajua nitaenda mimi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
Dah...Safi sana... endelea hivyohivyo. Tunasubiri Uzi mwingine zaidiNimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block

ohoooo!!!!Ni kawaida yenu umalaya si unaona hata baba ako
Tofauti yeye ni malaya kisiasa
7800??Nimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
HeeeNimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
Na wewe unajibu. Safi Sana njooni wote wawili, Nina wasubiri kwa hamu*Baada ya kutuma nauli ,Unampigia kujua kama amepata, Anapokea mume wake na kusema "Tumepata Ubarikiwe sana" 🤣*
I love uuuu Jane LowassaNimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
Naona wanaume wanavyotokwa mapovu!!😂😂😂😂
Hivi wewe ni nani hasa? Sina uhakika kama ni wewe kwenye avatar hapo. Maana unashusha za moto,za ukweli sana. Nahisi utakuwa “me”Unaliaibisha hilo jina la mwisho..haijalishi ni mzazi wako au lah..