Huoni hata aibu!Na nyie muweke za kwenu mulivyokuwa Muna mtetea hadi mate yanawatoka ili tupime nani mnafiki zaidi
Sasa umeyajuaje kama na wewe hushindi huku?Kama ingekuwa kila mnalokomalia linazaa matunda ingeleta maana. Hiki kizazi kimekuwa cha ovyo, umbea, upashkuna ndo imekuwa kazi.Jana imeonekana barua ya KKKT kila MTU kahamishia akili zake zote hapo hapo?,na bado mnalalamika maendeleo hayaji. Hakuna watu wanafiki duniani Kama asilimia fulani ya watanzania ninaowaona humu.Wanashinda wanatafuta tweet za watu, nukuu za Sitta za enzi zile wazilete humu, hivi kwa style hii tutaweza kutengeneza toothpick?.. Ndo maana huwa naombea JPM aendelee kukaza mpaka watu akili ziwarudie, zisipowarudia waendelee kulalama mpaka kiama na vizazi vyao vya ulalamishi mitandaoni.
Na wewe toka kwenye huu umbea basi!Mkuu mi nipo duniani huku nakula mafao, Kama tupo kundi moja sawa, ila Kama sio unapoteza muda wako mwingi bure hapa.Hamuwezi badilisha kitu serikalini kupitia Jamii Forums.Hapa mnapiga umbea tu na kupoteza muda wenu bure.
Kama ingekuwa kila mnalokomalia linazaa matunda ingeleta maana. Hiki kizazi kimekuwa cha ovyo, umbea, upashkuna ndo imekuwa kazi.Jana imeonekana barua ya KKKT kila MTU kahamishia akili zake zote hapo hapo?,na bado mnalalamika maendeleo hayaji. Hakuna watu wanafiki duniani Kama asilimia fulani ya watanzania ninaowaona humu.Wanashinda wanatafuta tweet za watu, nukuu za Sitta za enzi zile wazilete humu, hivi kwa style hii tutaweza kutengeneza toothpick?.. Ndo maana huwa naombea JPM aendelee kukaza mpaka watu akili ziwarudie, zisipowarudia waendelee kulalama mpaka kiama na vizazi vyao vya ulalamishi mitandaoni.
Haiwezekani Wote Tuugue uti wa Mgongo Madhara yake kila kiti unaona kimepinda kikipinda unaona kime nyooka 'Call a Spade a Spade Not a Big Spoon'Wewe ulitaka watu wasilalamikie maovu ya viongozi wafanyeje sasa? wafanye kama Somalia? kwamba kila akoseaye asilalamikiwe bali atunguliwe? mbona una mawazo mabaya hivyo?