mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Hata orthodox nao wanasema wakatoliki warumi waliasi ,,,maana utaratibu wa kanisa haukua hivyo na makao makuu ya kanisa yalikua Istanbul ilipokua himaya ya Byzantine,,,,na kila eneo kulikua na mkuu wa kanisa wa hilo eneo/bara tofauti na utaratibu wa warumi waliotaka kanisa zima liwe chini ya kiongozi wao alie hapo vaticanHabari Wanajamvi, familia yangu.
Tukirudi nyuma kidogo. Yesu alipofariki, Petro alichukua nafasi ya kuliongoza kanisa, yaani Baba wa kanisa.
Yesu aliliacha kanisa katoliki kwenye utaratibu, hakuliacha hewani tu hovyo hovyo, na nafasi ya Petro inachukuliwa na Papa, Papa ni cheo/nafasi.
Ukiangalia makanisa yote mbali na katoliki, yalisaliti kutoka kwenye kanisa katoliki, kwa sababu zao kadha wa kadha, tamaa binafsi ikiwa sababu kuu.
Lutheran: lilianzishwa na Luther, ambaye alisaliti kutoka Roman Catholic na kuanzisha movement yake. Alirudi kuomba msamaha kwa Papa, mwishoni sana.
Anglican: lilianzishwa na mfalme wa Uingereza, baada ya kusaliti kutoka Roman Catholic. Sababu ni kukataliwa kumuacha mkewe tasa na kutaka kuoa mke mwingine.
TAG, EAGT, EFATHA, KKKT, KKT, FPCT, na makanisa mengine yote ukiacha Roman Catholic, ni makanisa yaliyoasi kutoka kwenye kanisa mama la RC.
Kanisa la kwanza ni Katoliki. Kanisa takatifu katoliki la mitume.
Kanisa ni Catholic, mengine ni 'betrayers'. Live long RC!
Paulo alifia Rumi(Roma), kuna mashiko makubwa kwa kanisa Katoliki kuwa kanisa la kwanza.Hata orthodox nao wanasema wakatoliki warumi waliasi ,,,maana utaratibu wa kanisa haukua hivyo na makao makuu ya kanisa yalikua Istanbul ilipokua himaya ya Byzantine,,,,na kila eneo kulikua na mkuu wa kanisa wa hilo eneo/bara tofauti na utaratibu wa warumi waliotaka kanisa zima liwe chini ya kiongozi wao alie hapo vatican
Petro, wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa, milango ya kuzimu italipiga vita lakini haitalishinda.Lete ushahidi wa maandiko ili tuamini uyasemayo.
Petro alianzisha pia kanisa la antiok aka Syria tena mapema kabla hata ya huko romaPetro, wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa, milango ya kuzimu italipiga vita lakini haitalishinda.
Kanisa katoliki ni MAMA ila lilianzia mashariki ya kati ambapo ndo lilipoanzia kanisa la katoliki la kiorthodox,,,, huko magharibi lilihamia kwa sababu za kiutawala hasa influence ya warumi kwenye utawala,,,ila kanisa katoliki lilianzia mashariki ya kati halikuanzia romaP
Paulo alifia Rumi(Roma), kuna mashiko makubwa kwa kanisa Katoliki kuwa kanisa la kwanza.
NB
Kaburi la Petro lipo Rumi(Roma).
Kanisa Katoliki ni MAMA
Kanisa la kwanza ni Katholiki. Katoliki lipo duniani kote. Kanisa lipi lingine lipo duniani kote ukiacha katoliki?Petro alianzisha pia kanisa la antiok aka Syria tena mapema kabla hata ya huko roma
Hii umeipata wapi, au ni mawazo yako binafsi?Kanisa katoliki ni MAMA ila lilianzia mashariki ya kati ambapo ndo lilipoanzia kanisa la katoliki la kiorthodox,,,, huko magharibi lilihamia kwa sababu za kiutawala hasa influence ya warumi kwenye utawala,,,ila kanisa katoliki lilianzia mashariki ya kati halikuanzia roma
Hilo orthodox ni katoliki....unajua maana ya orthodox ??? Na ndo maana nakwambia katoliki haijaanzia roma,,,,,,ilioanzia roma ni hio roman catholic......hata hapo Ethiopia kanisa lao la tewahedo ni katoliki ila sio la roma,,,,hata kanisa la ugiriki ni katoliki ila sio katoliki ya roma,,,hivyohivyo russian,syrian orthodox hao wote ni wakatoliki ila sio wakatoliki ya rumi,,,,,shida huku Afrika wengi wamekalilishwa sababu makanisa huku yaliletwa na wamagharibi kwahio wakaingiza na propaganda zao,,,,ila ukiwa neutral ufatilie kanisa la mashariki na kanisa la magharibi utaelewa ukatoliki umeanzia wapi......orthodox ndo hilo kanisa la mashariki ambalo hata kwenye biblia lipo na ukristo ulianzia mashariki ya kati haukuanzia roma huko kwa wamagharibi,,,,kanisa limeenda kuanzishwa kwa warumi wakati tayari hapo mashariki ya kati kulikua tayari na wakristo (wakatoliki)Kanisa la kwanza ni Katholiki. Katoliki lipo duniani kote. Kanisa lipi lingine lipo duniani kote ukiacha katoliki?
Wanamuabudu huyu mwanadamu kwamba ndio munguWakatoliki wanaamini picha ya huyu muigizaji 'Brian Decon' ndio Yesu mwenyewe
View attachment 3123927
Hapa ndo mwisho wa Akili yako au kuna kipande kidogo hakijatumika??Habari Wanajamvi, familia yangu.
Tukirudi nyuma kidogo. Yesu alipofariki, Petro alichukua nafasi ya kuliongoza kanisa, yaani Baba wa kanisa.
Yesu aliliacha kanisa Katoliki kwenye utaratibu, hakuliacha hewani tu hovyo hovyo, na nafasi ya Petro inachukuliwa na Papa, Papa ni cheo/nafasi.
Ukiangalia makanisa yote mbali na katoliki, yalisaliti kutoka kwenye kanisa katoliki, kwa sababu zao kadha wa kadha, tamaa binafsi ikiwa sababu kuu.
Lutheran: lilianzishwa na Luther, ambaye alisaliti kutoka Roman Catholic na kuanzisha movement yake. Alirudi kuomba msamaha kwa Papa, mwishoni sana.
Anglican: lilianzishwa na mfalme wa Uingereza, baada ya kusaliti kutoka Roman Catholic. Sababu ni kukataliwa kumuacha mkewe tasa na kutaka kuoa mke mwingine.
TAG, EAGT, EFATHA, KKKT, KKT, FPCT, na makanisa mengine yote ukiacha Roman Catholic, ni makanisa yaliyoasi kutoka kwenye kanisa mama la RC.
Kanisa la kwanza ni Katoliki. Kanisa takatifu katoliki la mitume.
Kanisa ni Catholic, mengine ni 'betrayers'. Live long RC!
Shida kwa waafrika hasa waliotawaliwa na wakoloni wakisikia katoliki basi wanajua tu ni hilo kanisa la warumiHii umeipata wapi, au ni mawazo yako binafsi?
Tafuta historia ya kanisa la magharibi na kanisa la masharikiHii umeipata wapi, au ni mawazo yako binafsi?
Katoliki ipi? Katoliki la Roma au Katoliki halisi??P
Paulo alifia Rumi(Roma), kuna mashiko makubwa kwa kanisa Katoliki kuwa kanisa la kwanza.
NB
Kaburi la Petro lipo Rumi(Roma).
Kanisa Katoliki ni MAMA