Huku ndiyo utapata majibu ya maswali yako?Baba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino. Kwa nini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa. Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki. Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa. Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.
Nawasilisha.
umelazimishwa kusali kwa huyo paroko, sali kanisa la jirani yakoBaba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino. Kwa nini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa. Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki. Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa. Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.
Nawasilisha.
Punguza kiheleheleBaba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino. Kwa nini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa. Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki. Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa. Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.
Nawasilisha.
[emoji2960][emoji2960][emoji2960].Punguza kihelehele
Kasali unakokutaka, kwani umeshikiwa bunduki
Watafanyia kaziBaba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino. Kwa nini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa. Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki. Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa. Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.
Nawasilisha.
Nani ajenge kanisa jua kanisa si la Paroko,Askofu,Wawata wala ViwawaKatoliki tumeingiliwa na pepo michango
Huna mchango hutqzikwa, hutabatiza, hutafungishwa ndoa
Sasa kama hautoi michango unataka nani aje kukuzika, au kukubatiza, au kukufungisha ndoa?Katoliki tumeingiliwa na pepo michango
Huna mchango hutqzikwa, hutabatiza, hutafungishwa ndoa
Baba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino.
Kwanini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa.
Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki.
Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa.
Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.
Nawasilisha.
Mkuu; hebu tulia kidogo halafu utuambie vizuri. Je, Nani alizigawa hizo Jumuiya kutoka Parokia ya Roho Mtakatifu kwenda Parokia ya Kipunguni-Akwino?Baba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino.
Kwanini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa.
Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki.
Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa.
Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.
Nawasilisha.