Kanisa lamwaga mboga askofu amwaga ugali (Anglican)

Safi saana tu. Sasa mkuu apeleke zile nyaraka polisi ili huyo Mokiwa akaendeshee ibaada kule Segerea. Tunamhitaji Chaplin kule ndani jamani. Nasikia siku izi ukimuua chawa kule ni kama Faru John.
Kwa nini maadili yameporomoshwa kiasi hiki jamani?? Naamini Yesu yu karibu saana kurudi kuliko tunavyo fikiria. Mark ma words.
 
Jinsi kanisa lilivyoingia Africa ndio malengo hasa ya kanisa.

MISSIONERIES: - watangulizi wa ukoloni, walikuwa na lengo la kulainisha fikra, mawazo, uongozi, jitihada, n.k za kwetu Africa ili WAKOLONI Waje kututawala kirahisi, kutunyonya na kutudhalilisha, kutuibia rasilimali zetu, kupora Haiba zetu na kila kitu kibaya.

Kanisa limeendelea kuwa Taasisi kubwa zaidi duniani yenye Kunyonya maskini. Na hili ndio lengo la kanisa miaka yote.

Anyway tuendelee kutoa michango kanisani
 
Safi saana tu. Sasa mkuu apeleke zile nyaraka polisi ili huyo Mokiwa akaendeshee ibaada kule Segerea. Tunamhitaji Chaplin kule ndani jamani. Nasikia siku izi ukimuua chawa kule ni kama Faru John.
Kwa nini maadili yameporomoshwa kiasi hiki jamani?? Naamini Yesu yu karibu saana kurudi kuliko tunavyo fikiria. Mark ma words.
Mkuu uzuri nyaraka zote ziko mikononi mwa mshauri wa Askofu Mkuu mwanasheria nguli Prof Palamagamba Kabudi.Sioni mokiwa atachomokea wapi?!!!
 
Malasusa anagombania mwanamke,
mokiwa anakula pesa ya kanisa.
Kilaini anapokea pesa za escrow.

Hawa ni watu wenye majina makubwa na wanaaminiwa na waumini,bila kusahau ngwajima na vituko vyake.

Au hizi imani labda ni magumashi watu wanapoteza mda bure?
 
Hii hatari sana
 
Mkuu uzuri nyaraka zote ziko mikononi mwa mshauri wa Askofu Mkuu mwanasheria nguli Prof Palamagamba Kabudi.Sioni mokiwa atachomokea wapi?!!!

Hongereni jamani ila jina halimfungi mtu, mtu atafungwa kwa makosa yake mwenyewe. Ila, huyo huyo nguli akumbuke kuwa Mokiwa alishawahi kuwa Askofu wake mkuu.
Jamani, hebu tuyamalize mambo yetu kindani zaidi kuliko magazetini. Mengine, tumwachie Mungu kwani ndiye aliye waita kuwa watumishi wake. Mungu hamhitaji nguli wa sheria, analituma Neno lake na mwizi anazirudisha kwa kilio.
Swali la kizushi tu:
Tangu ziliwe hizo fweza, huyu fukunuku aliyekwenda kuchimbua uozo huo, inamaana alikuwa hauji kuwa Mungu alikuwa anajua?? Kwa nini Mungu akamruhusu huyo mwizi ajilambie kiulaini tu?? Ya ngoswe tumwachie ngoswe. Mungu alilijua hili tangu hata kabla ya dunia kuumbwa.
Mnawafurahisha wapenda udaku tu
 
Malasusa anagombania mwanamke,
mokiwa anakula pesa ya kanisa.
Kilaini anapokea pesa za escrow.

Hawa ni watu wenye majina makubwa na wanaaminiwa na waumini,bila kusahau ngwajima na vituko vyake.

Au hizi imani labda ni magumashi watu wanapoteza mda bure?
MITAA INANIAMINI KAMA KIONGOZI WA DINI.
 
Askofu Mokiwa amelishangaa kanisa lake la magomeni kwa kumtuhumu kula mabilioni ya pango la DCB wakati viongozi haohao wa kanisa wamedumbua shilingi milioni 200 alizowaidhinishia kama mkopo wa ujenzi wa kanisa.Chanzo gazeti la Mwananchi
Huku kwetu tunaitaga jino kwa jino hiyoo haaayaaa twendeee kazii na wacha movie iendelee.................
 
Mie nadhani na ingependeza kama kiongozi wa kiimani akajua lipi lakuzungumza/wakati gani na kwa sababu gani!!!sio busara hata kidogo kiongozi kusimama somewhere na kuongea kijinga kama wafanyavyo wanasiasa.so ni kusema huko kanisani kwao wana mtindo wa kupiga hivyo mmoja akishapiga hata jumuiya ikishtuka isiseme kwa sababu nao huwa wanapiga?
 
Mkuu uzuri nyaraka zote ziko mikononi mwa mshauri wa Askofu Mkuu mwanasheria nguli Prof Palamagamba Kabudi.Sioni mokiwa atachomokea wapi?!!!
Halafu walishajaaliwa kutoa kauli za vilainishi.
Mtu usipokuwa makini waweza kumuamini. Wanakipaji cha kutawala hadhira, lakini ni waongo wakubwa.
Askofu mzima anatoa stetments za kung'ang'ani kiti macho makavu kabisa wakati akiandamwa na tuhuma za wizi mkubwa!
Ifike mahali sasa hata sisi waamini tupuuze njaa zinazoandama matumbo yetu na tuugeukie ukweli.
Ninasema njaa kwa sababu haiwezekani tuhuma bab'kubwa kiasi icho halafu eti kuwe na watu bado wanam"support"!
Kanisa kulifikisha kwenye mfumo wa ushabiki wa ki-Simba na Yanga ni matusi makubwa sana.
Tuhuma kama hizi hazikupaswa kufanyiwa malumbano kwenye "media".
Malumbano hayo yanampa nafasi ya kuendelea kupiga ngebe za kimipasho na kuendeleza mapambano yake ya kilaghai.
Huyo angezolewa mojakwamoja "ndani", ngebe zake hizo angezitolea mahakamani, tena si kwa mdomo wake mkavu, bali kwa mzunguko wa kusemewa na mawakili.
 
Back
Top Bottom