Kanisa la Wasabato lawatimua wachungaji wanaopinga fundisho la Mungu wa utatu

Unaitwa utatu mtakatifu, the holy trinity, Mungu baba, Mungu mwana Roho mtakatifu. Ukiwa na mmojawapo hapo unavyo vyote. Ni kitu kimoja ndani ya nafsi moja
 
Kama kweli Mungu anaweza yote, kwanin ASHINDWE KUWA KATIKA NAFSI TATU NA ZAIDI??
 
Dini ni uwehu
acha kufuru, ungekuwa muislam ungekaa kimya usingethubutu kutoa neno hili. Hii nchi ina dini kubwa mbili lazima uwemo upande mmojawapo, labda uwe umezaliwa na wazazi ambao hawakuingia kwenye dini yeyote tangu kuwepo kwa wakoloni/waarabu. Yaani ulizaliwa kwenye upagani hadi leo huna dini unayoiamini na kuiabudu
 
Mungu baba 1
Mungu mwana 2
Mungu roho mtakatifu 3

Hiyo ni miungu 3 huo ndio ukafiri uliotukuka

ifahamike ukirito ulipo kuja kati ukanda wa afirika mashari ulikuta watu wakitumia jina hili mungu je walikuwa wakikusudia mungu gani?
 
ivi MUNGU yupo mmoja mm huwa najua kuna MUNGU watatu.
Teh teh teh.
Mungu wakiwa watatu mmoja akiamua mvua inyeshe mwingine akasema hapana nataka jua kali Nani ataweza kufanya alitaka?

Amkeni kabla hamjafa
Ukafiri Una adhabu kubwa mno
 
Mungu baba ni Mungu mwenyewe
Mungu mwana ni Yesu kristu na Roho mtakatifu
Umeandika kitu ambacho hata wewe huwezi kukielewa
Mungu Yesu alipigwa na. Viumbe aliowaumba yeye mwenyewe au Yesu NI Mungu ambae Hana sifa ya kuumba?
Mungu azaliwe, anyinyeshwe atahiriwe na afe?
Hebu amka kabla hujafa. Moto WA Jahannam umeandaliwa kwa makafiri wenye Imani km hii.
MUNGU NI MMOJA TU.
Yesu NI Mtume WA MUNGU. Na alikuwa akisali kuabudu MUNGU ALIYE MTUMA
 
Teh teh teh.
Mungu wakiwa watatu mmoja akiamua mvua inyeshe mwingine akasema hapana nataka jua kali Nani ataweza kufanya alitaka?

Amkeni kabla hamjafa
Ukafiri Una adhabu kubwa mno
Jua litawaka na mvua itanyesha Kwa pamoja..
 
Jua litawaka na mvua itanyesha Kwa pamoja..
Umeona sasa ubaya wa imani za kukaliwa vikao Vatican.
Hakuna Mkristo hata mmoja anaeweza kutoa tafsiri ya UTATU MTAKATIFU NA IKAELEWEKA.

Utaona majibu 200 lkn Huwezi kuelewa hata moja.
Na ukiuliza kwanini majibu yao hayaeleweki utaambiwa mpk Roho mtakatifu akuingie ndio utaelewa.
Yaani wanamfanya Mungu mbaguzi km mzungu. Anachagua nani awe na roho mtakatifu nani abaki kivyake.
🤣🤣
 
Wewe fata yako achana na imani za watu utapasuka kichwa bure.
 
Wewe fata yako achana na imani za watu utapasuka kichwa bure.
Moja ya jukumu la LAZIMA la imani yangu ni kukumbusha watu kuwa Yyt mwenye Kuabudu Asiekuwa MUNGU anaingia JAHANNAM MILELE
au aache ibada hizo za kikafiri kabla hajafa.
Kwahio suala la kuwaacha halipo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…