prince marwa pascal
Member
- Dec 4, 2012
- 28
- 5
Miaka ijayo ibada zitakuwa hv
mchungaji:bhwana asifiwe
waumini:amen
mchungaji:2mshukuru mungu kwa ku2pa cku nyingine nzuri hii ya leo
mchungaji:sasa 2fungue bluetooth za ipads,iphone,laptops,simu zetu ili 2pokee mahubiri ya leo,mnaweza kupata kwenye YOU TUBE na pia hata kwenye website yangu ile ya WWW.MCHUNGAJI.COM na kama unataka kuokoka pia unaweza kuokoka ONLINE
(baada ya muda mfpi)
mchungaji:sasa 2naweza kutoa SADAKA zetu kwa kutumia M-PESA,T-PESA,AIRTEL MONEY,Z-PESA kwa account no mbele ya mazabahu.
(baada ya muda mfp )
mchungaji:ahsante kwa kuhudhuria kanisani,sasa 2ombe kisha 2ondoke.