Kanisa katoliki Tanga mjini

Kanisa katoliki Tanga mjini

Gloriamagret

Member
Joined
Jun 12, 2023
Posts
47
Reaction score
155
Mimi ni mgeni tanga mjini.naomba kujua kanisa katoliki hapa mjini karibu na mtaa wa chuda hoteli niliopanga liko wapi?

Naomba kujua pia ratiba yake ya ibada kesho jumapili.

Nataka nipate ibada kwanza kabla ya kuendelea na majukumu yaliyonileta tanga.
 
barabara ya 20, ulizia saa 12 asbuhi kuna ibada
 
Chuda kwa nyuma Kuna kituo cha polisi chumbageni kwa mbele kidogo kama unaenda deep sea/,Changa primar Kuna kanisa la Catholic St Anthony .
 
Thanks.nimesali hapo cafhedral chumbagen.good church .kanisa la kiaskofu.nimepapenda
 
Back
Top Bottom