Dini, Imani yoyote ya ukweli itahubiri na kusisitiza haki. Huo ndio msingi wa dini zote za kweli.
Huwezi kuona watu wanatekwa, kuteswa, kupotezwa, kufirwa, kubakwa, kuuwawa na vyombo vya serikali ukabaki kimya kama kweli unahubiri ukweli, haki, neno la Mungu wa uweli na haki.
Kuna manabii wa uongo wengi, tumeonywa tutawatambua kwa matendo yao.