eminent luxy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 343
- 358
Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.
Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.
Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.
Uhusiano binafsi unaotajwatajwa humu kati ya nyaisonga na magufuli hauna afya kwa kanisa hata kidogo na mtakuwa sehemu ya lawama Mambo yakiharibika.
Mwisho mjitafakari kama bado mna moral authority na credibility ya kula sadaka za waumini wenu wakati mnafumbia macho wanasiasa wanaobaka demokrasia yao?
Hawa wanafanya sana biashara hivyo lazima wajiweke karibu na sirikali ili wasamehewe kodi etc. Vile mukulukulu in wakwao basis ndio kabsaaa Kabsa mbe!!Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.
Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.
Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.
Uhusiano binafsi unaotajwatajwa humu kati ya nyaisonga na magufuli hauna afya kwa kanisa hata kidogo na mtakuwa sehemu ya lawama Mambo yakiharibika.
Mwisho mjitafakari kama bado mna moral authority na credibility ya kula sadaka za waumini wenu wakati mnafumbia macho wanasiasa wanaobaka demokrasia yao?
Umeandika kweli tupu mkuu, nashangaa hata wanapata wapi guts za kufundisha mambo ya ndoa na familia wakati wao wenyewe hawana familia.Hawa viongozi wa Kikatoliki kuishi bila kuoa kuna "impair" uwezo wao wa kikatoliki. Ndio maana kwenye mila za kabila letu ukiwa mtu mzima halafu huna mke hushirikishwi kwenye vikao vya vya familia vya kutoa maamuzi ya masuala muhimu ya kifamilia!
Hebu nikuulize kiukweli kabisa, ni wapi kwenye injili kanisa limepewa mamlaka kusimamia watawala? Je, hayo ni majukumu ya kanisa?Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.
Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.
Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.
Uhusiano binafsi unaotajwatajwa humu kati ya nyaisonga na magufuli hauna afya kwa kanisa hata kidogo na mtakuwa sehemu ya lawama Mambo yakiharibika.
Mwisho mjitafakari kama bado mna moral authority na credibility ya kula sadaka za waumini wenu wakati mnafumbia macho wanasiasa wanaobaka demokrasia yao?
Viongozi wa dini wanakuwa na moral authority ya kusimama altareni Kama wana uwezo wa kukemea uovu kwenye maisha ya waumini wao ; kilichofanywa na gvt kwenye serikali za mitaa Ni uovu wasipokemea Mambo yakiharibika wanajumuishwa kwenye lawama.Hebu nikuulize kiukweli kabisa, ni wapi kwenye injili kanisa limepewa mamlaka kusimamia watawala? Je, hayo ni majukumu ya kanisa?
Tumebariki kanisa kuacha majukumu yake na kujipa majukumu ya kisiasa kitu ambacho si bora kwa afya ya kanisa. Kanisa na Kaizari wapi na wapi!! Nioneshe kwenye biblia ni wapi kuhubiri injili kumehusisha vuguvugu la kisiasa.
Mkuu upstair uko sawa kabisa? Hujui kilichovuruga zoezi zima la huu uchaguzi? Unatania au umemaanisha? Jitafakari na ujue kuwa huitendei haki nafsi yako.Mkililaumu kanisa mnalikosea heshima bure, wakulaumiwa ni Mbowe. Mbowe amecheza mchezo wa kitoto sana amehamisha magori mchana kweupe. Mbowe hataki kutoka madarakani ameamua kutumia uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa ndio ngao yake, yaani Mbowe yupo pembeni tu anawazoom jinsi mnavyomfagilia njia yake ya ufalme chamani
Ni mtazamo wako lakini sio kibiblia. Kama serikali italishambulia kanisa kwenye majukumu yake, hapo litasimamia imani. Lakini nje ya hapo, serikali huongozwa na watu w imani tofauti, ndio maana si vema kila imani ikajitokeza kulazimisha mambo fulani. Kumbuka Yesu alikuwepo kipindi taifa lake likiwa chininya watawala warumi, hakuwahi kupambana na wakoloni hao, why? Haikuwa mission yake, utawala wake SI WA DUNIA HII. Bali makanisa mengi hii leo yameacha msingi wa injili na kufanya uasherati na wanasiasa.Viongozi wa dini wanakuwa na moral authority ya kusimama altareni Kama wana uwezo wa kukemea uovu kwenye maisha ya waumini wao ; kilichofanywa na gvt kwenye serikali za mitaa Ni uovu wasipokemea Mambo yakiharibika wanajumuishwa kwenye lawama.
Mkuu kiufupi kanisa katoiliki halikumuaa Galileo lakininlilimpa misukosuko mingi sana ikiwemo kifungo then kuwekwa kizuizini nyumbani kwake na hili lawezekana lilichangia maradhi yake na hatimaye kifo kabla ya kupofuka na kupata matatizo mengine yya kiafya. Kesi ambayo RC walimshtaki nayo ilikuja onekana Galileo Galilei yuko sahihi kabisa kuwa Jua halizunguki bali dunia ndiyo inalizunguka jua na kujizungusha katika muhimili wake.Hukumbuki hao watu waliouliwa na Kanisa Katoliki na hata kisa kilichofanya wauwawe pia hukikumbuki lakini umepata guts za kusema Kanisa limeuwa! Is that fair Mkuu? Kwa maoni yangu umepotoka
Tanzania kuna madhehebu kadhaa ya dini na madhehebu yenye waumini wengi ni Kanisa Katoliki na Waislamu. Inakuaje umechagua kutoa maneno makali dhidi ya Taasisi moja tena angalau yenye historia ya kukemea maovu huko nyuma lakini hukugusia taasisi kama BAKWATA ambao sio tu wapo kimya lakini huunga mkono jambo lolote la Wanasiasa wa Chama Tawala liwe baya na ovu kwa watu au vinginevyo?
Kanisa haliwezi tetea wala ruzuku wasiotaka kufanya uchaguzi ndani ya vyama vyao
Mkililaumu kanisa mnalikosea heshima bure, wakulaumiwa ni Mbowe. Mbowe amecheza mchezo wa kitoto sana amehamisha magori mchana kweupe. Mbowe hataki kutoka madarakani ameamua kutumia uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa ndio ngao yake, yaani Mbowe yupo pembeni tu anawazoom jinsi mnavyomfagilia njia yake ya ufalme chamani
Injili ya kristo inafundisha kanisa likae kimya na kuungana na wauaji, wanaudhulumu haki, ha kuwasifu bila kikomo kuwa wanafanya vyema sana. Kwamba wanatakiwa wasifiwe na wote waungwe mkono. TUONDOLEE USHETANI HAPA KAHUBIRI KUZIMU KWA WACHAWI WENZIOSeparation of church and state. Hata hayo matamko wa maaskofu ni kwa sababu tu wana uhuru wa kutosha. Kanisa linahubiri injili ya Kristo sio siasa. Tukienda hivyo hatutafika
Kanisa limepata viongozi wa hovyo kabisa kupata kutokea, huyo Nyaisonga sijui ni mdudu gani kwa kweli. Yaani badala ya kuongea vitu ambavyo vitaliweka taifa pamoja yeye anakwenda kuongea vitu vinavyoleta mipasuko katika taifa.
Nguvu ya Kanisa inatokana na waumini wake sasa subiri waone watakavyobaki peke yao, kumbe kelele zote zile za wakati wa Kikwete zilisikika sababu ya uungwana na upole wake, sasa hivi chuma kinaongoza nchi Kanisa limeukana wajibu wake mara tatu kabla Jogoo halijawika, kama kulikuwa na jambo la kukaa na kusuluhisha basi kanisa ndiyo lilipaxwa kuziita pande mbili hizo ili kusuluhisha badala ya kuutaka upinzani unaoonewa eti uitishe suluhu.
Kumbe Tundu Lissu yupo imara zaidi ya kanisa? Mbowe ambaye anayepitia misukosuko mingi ya kuwekwa ndani, kuharibiwa mali zake, kunyang'anywa mali zake kumbe yupo imara kuliko viongozi wa Kanisa ambao wao wanajali hadhi zao tu na si hadhi ya
Mlnilikuwa Mkatoliki na toka nimeacha kwenda kanisani na nimejitoa kwa kila kitu moyo wangu una imani sana .......na fanya mambo bila hofu ya Mungu wa kanisa katoliki.... viongozi wa dini wametengana na watering wetu kutuumiza Sasa ni muda wa kujiongoza Hawa ndo waliotufundisha samehe saba mara sabini...... Yaaani we uniulie ndg zangu u wapiga risasi wengine vilema, unitesee unavyotaka na unapiga mbaazi we ndo serikali ..... u natumia makanisa...... tukuombee subiri pigo takatifu..... tumeshaanza na makanisani tunayasusia kama tulivyosusia uchaguzi hadi muvue majoho tusote wote
Acha nongwa,waliokatwa wote si wamerudishwa?Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira yenu inaongozwa na Roho Mtakatifu basi mjitafakari mara mbili juu ya uamuzi wenu wa kufumbia macho uhalifu uliofanywa na serikali kwenye zoezi la uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hujui ulisemalo na ulichoongea kimeonyesha ufinyu wa fikra zako. Kanisa halihusiani na siasa, fanyeni siasa acheni kulilia makanisa. Kanisa si chama cha siasa, ni makosa sana. Hicho ukitakacho ni upofu wako na hiyo kuzimu yako, soma biblia nawe utaishi.Injili ya kristo inafundisha kanisa likae kimya na kuungana na wauaji, wanaudhulumu haki, ha kuwasifu bila kikomo kuwa wanafanya vyema sana. Kwamba wanatakiwa wasifiwe na wote waungwe mkono. TUONDOLEE USHETANI HAPA KAHUBIRI KUZIMU KWA WACHAWI WENZIO
Madhehebu ni KKKT na ADVENTISTS pekee hawa wengine ma kahaba tu wa Imani ndo maana unakuta wanajifanya watawa lakini vimada kibaoo
Pengo alikuwa alikuwa ni siyo kiongozi mzuri wa kanisa. Hakujaaliwa busara bali chuki tupuPengo anazidi kutia pilipili kwenye vidonda ndoa ya kanisa na serikali za kidictator hazitaishia kwa Benito !!