Sikuwa na banNaona ban imeisha umekuja na avatar mpya
Hukumbuki hao watu waliouliwa na Kanisa Katoliki na hata kisa kilichofanya wauwawe pia hukikumbuki lakini umepata guts za kusema Kanisa limeuwa! Is that fair Mkuu? Kwa maoni yangu umepotoka
Tanzania kuna madhehebu kadhaa ya dini na madhehebu yenye waumini wengi ni Kanisa Katoliki na Waislamu. Inakuaje umechagua kutoa maneno makali dhidi ya Taasisi moja tena angalau yenye historia ya kukemea maovu huko nyuma lakini hukugusia taasisi kama BAKWATA ambao sio tu wapo kimya lakini huunga mkono jambo lolote la Wanasiasa wa Chama Tawala liwe baya na ovu kwa watu au vinginevyo?
Point zangu ni mbili manengelo. Unapotoa madai serious ya kwamba mtu au taasisi imewahi kuua watu lazima uwe precise and certain. Huyu jamaa eti hakumbuki! Sasa kwanini akaandika hoja hiyo?Hapana mkuu..ukiacha udini jamaa ana point!ww unataka kuanza kuleta udini..usiitaje kwanza bakwata hapa..maana inajulikana ni mali yao..unakimbuka zaman walikua waantoa waraka kbs kukemea ntantalila za serikali!?ss hv wamelewa sadaka za waamini!
Po
Point zangu ni mbili manengelo. Unapotoa madai serious ya kwamba mtu au taasisi imewahi kuua watu lazima uwe precise and certain. Huyu jamaa eti hakumbuki! Sasa kwanini akaandika hoja hiyo?
Pili hizi taasisi za dini zinakua na maslahi yao kwa serikali iliyopo madarakani na kamwe haziwezi kwenda kinyume na serikali hizo ikiwa maslahi yao kama taasisi yanaangaliwa. Kama huko nyuma yaliwahi kufanya hivyo basi ujue maslahi ya taasisi husika yalikua hatarini. Chunguza
Hakuna nafasi ya kondoo kuhoji mchungaji. Mchungaji anamwakilisha Mungu. Hakuna kuhoji wala kupinga. Hakuna kujenga hoja. Ni kusikiliza tu na kuishi kadiri ya mafundisho.Ili kanisa watu wake ni wakimya cjui tupoje