Kanisa Katoliki lawamani kupokea pesa milioni 20 zinazoitwa "za mafuta ya gari la Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo kwa kazi zake za kichungaji

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,611
Reaction score
9,269
Hii haina tofauti na ile iliyoitwa zawadi ya TZS 150,000,000 kwa Askofu Shoo wa KKKT - Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (iliyolifikia kanisa kwa mkono wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA by then) kwa ajili ujenzi wa kanisa huko Machame - Hai - Kilimanjaro kwa Freeman Mbowe..

Hiyo pesa iliyoitwa "zawadi" au "mchango wa ujenzi wa Rais Samia" ilileta mtafaruku sana kwa Askofu Shoo mwenyewe na kanisa kwa ujumla...

Mpaka leo pesa hiyo inamtesa Askofu huyo pamoja na kutoka mara kadhaa hadharani kujitetea kusema, pesa hakuiomba yeye bali ililetwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mbowe by then) na kwa hiyo alaumiwe yeye Freeman Mbowe na sio yeye Askofu au kanisa la KKKKT....!

☝🏻Hiyo kauli toka kwa Askofu tena mchungaji wa kondoo ya kumrushia lawama muumini wake aitwaye Freeman Mbowe ni kinyume kabisa na mafundisho ya Yesu Kristo. Mchungaji kaacha kondoo ili aliwe na fisi...!!

Soma Pia: Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Juzi, pesa nyingine iliyopewa jina la "zawadi" imerushwa kwenda kwa Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo jipya la Bagamoyo na yuleyule tena aliyemwingiza Askofu Shoo na kanisa lake kwenye matata na dhambi ya dhamiri....

Maswali ya kujiuliza na kujijibu:

1. Hivi kanisa la Mungu linaweza kupewa "pesa - zawadi" na watawala wa serikali za kidunia...?

2. Wapi kwenye Biblia Agano Jipya, Yesu Kristo ktk uchungaji wake na huduma (ministry) yake aliwahi kupokea "pesa - zawadi" toka kwa watawala wa serikali za kidunia...?

3. Wapi kwenye Biblia (Agano jipya) ambapo kanisa la kwanza chini ya mitume lilipokea kitu kinaitwa "pesa - zawadi" toka kwa watawala wa serikali za kidunia na ikawa halali..??

4. Je, Kanisa Katoliki pamoja na ujuvi wa kimaandiko lililonalo, wameshindwa kuuona mtego huu wa shetani kuwa unalitia kanisa na Askofu huyo matatani?

5. Ishara ya kwanza kabisa kuwa zawadi hiyo sio ya kawaida ni timing ya kutolewa kwake. Hilo nyie maaskofu wa TEC linawapa ugumu gani kutambua kuwa vijisenti hivyo vinawatia kwenye kifungo cha kiroho..?

6. Je, kanisa (waumini wenu) wanashindwa kutoa sadaka zao kwa ajili ya kumtunza Askofu wao hata mnashindwa kuwa wavumilivu na kuletewa mtego wa 20M za shetani mwenyewe...?

7. Yesu Kristo aliushinda mtego wa namna hii hadharani kwa kutumia maandiko alipoambiwa na shetani akubali kumwabudu na kumsujudia ili apewe falme, mamlaka, fahari na hazina zote za dunia hii👇🏻👇🏻

Mathayo 4: 8-9 SUV

"....Kisha Ibilisi akamchukua (Yesu Kristo) mpaka mlima mrefu mno, akamuonesha miliki zote za ulimwengu , na fahari yake, akamwambia; haya yote nitakupa ukianguka na kunisujudia..."

Yesu Kristo alimkatalia na kumwaibishia palepale instantly kwa kumwambia Ibilusi👇🏻

Mathayo 4:10 SUV

".....Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani, kwa maana imeandikwa, Msujudue Bwana Mungu wako, mwabudu yeye peke yake....."

Baada ya ujasiri na boldness ya Yesu Kristo kuushinda mtego huo wa Ibilisi, nini kilitokea...?

Mathayo 4:11 SUV

"......Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama wakaja Malaika wakamtumikia..."

Yesu Kristo angeingia mkenge na kuikubali ofa hii ya shetani, leo si tungekuwa wapi? Ni wazi kuwa tungekuwa captives wa Ibilisi Shetani mpaka leo...!

Leo Kanisa Katoliki linaingizwa mkenge kwa milioni 20 na kujiuza kwa shetani..? What a shame...!

Hamjachelewa. Mungu hawezi kushindwa kuwapa pesa yoyote mnayoihitaji kwa njia sahihi na takatifu kupitia kwa watoto wake wanaotoa kama sadaka za shukrani...

Rais Samia Suluhu Hassan hajakatazwa kuja kutoa sadaka yake iwe ya kutunza watumishi, sadaka ya ujenzi au jina lolote. Lakini sadaka huwa haitolewi kwa kutangazwa hadharani. Ukiitangaza hiyo inakuwa siyo sadaka, bali hongo au rushwa yenye kusudi ovu nyuma yake...

Aje kanisani mwenyewe kwa unyenyekevu wa ki - Mungu, atoe sadaka yake kwa mkono wa kulia kiasi cha ule wa kushoto usijue anatoa nini na kiasi gani maana kwa ishu ya utoaji sadaka Yesu Kristo yuko very clear ktk kutuelekeza na kutufundisha namna ya kutoa 👇🏻👇🏻 anasema;

Mathayo 6: 1 - 4 SUV

".....Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao, kwa maana mkifanya kama hayo hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. Basi, wewe utoapo sadaka, usipige panda (usitangaze hadharani kwa sauti kuu) mbele yako kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na watu. Hakika nawaambieni, wamekwishakupata thawabu yao. Bali wewe, utoapo sadaka, fanya hivyo hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyavyo mkono wako wa kuume. Sadaka yako iwe ya siri na Baba yako aonaye sirini atakujaza..."

Rais Samia Suluhu Hassan na kanisa katoliki hawajui maandiko haya..??

Kazi kwao. Ni aidha wasuke au wanyoe...
 
(Luke 7:1-25)

Mtawala mmoja asiye myahudi, aliwajengea wayahudi Sinagogi kwa Nia njema.

Na alipopatwa shida, wayahudi walimsihi Yesu amsaidie.

Ndiye huyu aliyesema, "Sema neno tu, na mjakazi wangu atapona, Yesu akasema, hajawahi kuona mtu mwenye Imani kubwa kama Yeye.

So kujenga, au kupeleka sadaka SI shida,

Shida Iko kwenye Nia na dhamira nyuma ya sadaka na zawadi.
 
wachoyo waumizwa moyo na utoaji sadaka wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa askofu mteule wa jimbo jipya katoliki la bagamoyo :NoGodNo:
 
Hakuna watu katili kama kanisa katoliki na mfumo wao wa kuhudumia jamii.

Kama huna pesa sahau kabisa kuhudumiwa na kanisa katoliki
 
Kwani walisema hawana hizo milion 20? Wale wakisema tunataka 100m haichukui muda kuipata , hivi jua banana ya shirika la.fedha IMF anayefuata kwa utajiri ni RC, hiyo milion 20 ni kitu gani!
 
Hakuna watu katili kama kanisa katoliki na mfumo wao wa kuhudumia jamii.

Kama huna pesa sahau kabisa kuhudumiwa na kanisa katoliki
Wakikatiwa sadaka kama mbogo ona yule aliekuwa anamsema kikwete hv hawa hua hawanaga familia ety ndo maana nakumbuka ile wimbo wa diamond ylyule si mtu jini si msukule
 
Hii haina tofauti na ile iliyoitwa zawadi ya TZS 150,000,000 kwa Askofu Shoo wa KKKT - Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (iliyolifikia kanisa kwa mkono wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA by then) kwa ajili ujenzi wa kanisa huko Machame - Hai - Kilimanjaro kwa Freeman Mbowe..

Hiyo pesa iliyoitwa "zawadi" au "mchango wa ujenzi wa Rais Samia" ilileta mtafaruku sana kwa Askofu Shoo mwenyewe na kanisa kwa ujumla...

Mpaka leo pesa hiyo inamtesa Askofu huyo pamoja na kutoka mara kadhaa hadharani kujitetea kusema, pesa hakuiomba yeye bali ililetwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mbowe by then) na kwa hiyo alaumiwe yeye Freeman Mbowe na sio yeye Askofu au kanisa la KKKKT....!

☝🏻Hiyo kauli toka kwa Askofu tena mchungaji wa kondoo ya kumrushia lawama muumini wake aitwaye Freeman Mbowe ni kinyume kabisa na mafundisho ya Yesu Kristo. Mchungaji kaacha kondoo ili aliwe na fisi...!!

Soma Pia: Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Juzi, pesa nyingine iliyopewa jina la "zawadi" imerushwa kwenda kwa Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo jipya la Bagamoyo na yuleyule tena aliyemwingiza Askofu Shoo na kanisa lake kwenye matata na dhambi ya dhamiri....

Maswali ya kujiuliza na kujijibu:

1. Hivi kanisa la Mungu linaweza kupewa "pesa - zawadi" na watawala wa serikali za kidunia...?

2. Wapi kwenye Biblia Agano Jipya, Yesu Kristo ktk uchungaji wake na huduma (ministry) yake aliwahi kupokea "pesa - zawadi" toka kwa watawala wa serikali za kidunia...?

3. Wapi kwenye Biblia (Agano jipya) ambapo kanisa la kwanza chini ya mitume lilipokea kitu kinaitwa "pesa - zawadi" toka kwa watawala wa serikali za kidunia na ikawa halali..??

4. Je, Kanisa Katoliki pamoja na ujuvi wa kimaandiko lililonalo, wameshindwa kuuona mtego huu wa shetani kuwa unalitia kanisa na Askofu huyo matatani?

5. Ishara ya kwanza kabisa kuwa zawadi hiyo sio ya kawaida ni timing ya kutolewa kwake. Hilo nyie maaskofu wa TEC linawapa ugumu gani kutambua kuwa vijisenti hivyo vinawatia kwenye kifungo cha kiroho..?

6. Je, kanisa (waumini wenu) wanashindwa kutoa sadaka zao kwa ajili ya kumtunza Askofu wao hata mnashindwa kuwa wavumilivu na kuletewa mtego wa 20M za shetani mwenyewe...?

7. Yesu Kristo aliushinda mtego wa namna hii hadharani kwa kutumia maandiko alipoambiwa na shetani akubali kumwabudu na kumsujudia ili apewe falme, mamlaka, fahari na hazina zote za dunia hii👇🏻👇🏻

Mathayo 4: 8-9 SUV

"....Kisha Ibilisi akamchukua (Yesu Kristo) mpaka mlima mrefu mno, akamuonesha miliki zote za ulimwengu , na fahari yake, akamwambia; haya yote nitakupa ukianguka na kunisujudia..."

Yesu Kristo alimkatalia na kumwaibishia palepale instantly kwa kumwambia Ibilusi👇🏻

Mathayo 4:10 SUV

".....Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani, kwa maana imeandikwa, Msujudue Bwana Mungu wako, mwabudu yeye peke yake....."

Baada ya ujasiri na boldness ya Yesu Kristo kuushinda mtego huo wa Ibilisi, nini kilitokea...?

Mathayo 4:11 SUV

"......Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama wakaja Malaika wakamtumikia..."

Yesu Kristo angeingia mkenge na kuikubali ofa hii ya shetani, leo si tungekuwa wapi? Ni wazi kuwa tungekuwa captives wa Ibilisi Shetani mpaka leo...!

Leo Kanisa Katoliki linaingizwa mkenge kwa milioni 20 na kujiuza kwa shetani..? What a shame...!

Hamjachelewa. Mungu hawezi kushindwa kuwapa pesa yoyote mnayoihitaji kwa njia sahihi na takatifu kupitia kwa watoto wake wanaotoa kama sadaka za shukrani...

Rais Samia Suluhu Hassan hajakatazwa kuja kutoa sadaka yake iwe ya kutunza watumishi, sadaka ya ujenzi au jina lolote. Lakini sadaka huwa haitolewi kwa kutangazwa hadharani. Ukiitangaza hiyo inakuwa siyo sadaka, bali hongo au rushwa yenye kusudi ovu nyuma yake...

Aje kanisani mwenyewe kwa unyenyekevu wa ki - Mungu, atoe sadaka yake kwa mkono wa kulia kiasi cha ule wa kushoto usijue anatoa nini na kiasi gani maana kwa ishu ya utoaji sadaka Yesu Kristo yuko very clear ktk kutuelekeza na kutufundisha namna ya kutoa 👇🏻👇🏻 anasema;

Mathayo 6: 1 - 4 SUV

".....Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao, kwa maana mkifanya kama hayo hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. Basi, wewe utoapo sadaka, usipige panda (usitangaze hadharani kwa sauti kuu) mbele yako kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na watu. Hakika nawaambieni, wamekwishakupata thawabu yao. Bali wewe, utoapo sadaka, fanya hivyo hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyavyo mkono wako wa kuume. Sadaka yako iwe ya siri na Baba yako aonaye sirini atakujaza..."

Rais Samia Suluhu Hassan na kanisa katoliki hawajui maandiko haya..??

Kazi kwao. Ni aidha wasuke au wanyoe...

Bottom line, afungue chungu. Longo longo za Nini?
 
Back
Top Bottom