Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

NAAMBIWA HAPA

AKICHAGULIWAAA.MARAISI WA NCHI KUBWA WOTE LAZIMA WAPITE PALE KUTOA SALUTE ZAOOO NA HATA WA NCHI ZETU ZA AFRIKA HUYU MTU ANA NGUVUU EEH
 
Sasa nimeelewa kwann mle ndani wanaambiwa yatakayotokea n siro zaooo maanisha kuna wakati wanafika kukubaliana na kutokukubaliana WANATOKA na MAAMUZI ya pamoja HATA kama n magumu
 

Attachments

  • IMG_20250508_193117_300.jpg
    IMG_20250508_193117_300.jpg
    423.5 KB · Views: 19
  • IMG_20250508_193112_063.jpg
    IMG_20250508_193112_063.jpg
    426.6 KB · Views: 20
Hiyo paragraph ya mwisho umeiandika bila weledi....

Unawezaje kusema viongozi wa dini ngazi hiyo ni dot com??..... Jitafakari.... Kama hujui jambo na utaratibu wake ni vema kukaa kimya....
 
Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Mtume Mathia alipatikanaje?,Mashemasi saba walipatikanaje?,Wee bhana usituchanganye,endelea kula viporo vyako vya maharage huko.
 
Hakuna anayeruhusiwa kuingia kule na wanapiga kura za siri na wameapa kutunza siri, aliyekwambia hayo ni nani????
Jidanganyeni na hizo show za joe.. yaani mkurugenzi wa corporate apatikane kwa bahati mbaya!?..kila siku wakipiga kura badi mara ya tatu ndo anapatikana,hiyo ni staged
 
20250508_193103.jpg
Sasa tunaye Papa !!

Moshi mweupe!
Wateule wa Kardinali 133 waliokusanyika katika Sistine Chapel ya Vatikani wamechagua Papa mpya. Ataonekana hivi karibuni kwenye dirisha kuu la Basilica ya Mtakatifu Peter .
 
Woooh
 

Attachments

  • IMG_20250508_193117_300.jpg
    IMG_20250508_193117_300.jpg
    423.5 KB · Views: 21
Back
Top Bottom