Pamoja na ukatoliki wangu,wale viongozi wa dini pamoja na kanisa zima la Rwanda hasa la RC,walikosea hasa.
Walipaswa kukemea hilo mapema na kuwa kiunganishi baina ya wanadamu.
Ninaamini kanisa lingetoa kauli,mauaji yasingetokea kwa kiasi kikubwa kama hicho kwani wahutu na Watutsi wangeunganishwa na kitu kimoja yaani Ukristo