Ni hatari kuchezea dini za watu, Nadhani kila DINI ina misingi na taratibu zake ambazo zikikiukwa ua kuvunjwa au kutozifuata basi hatua zinachukuliwa bila kujali huyo mtu anatoka kabila gani au Chama gani, Kanisa katoliki limekuwa likiwaadhibu wale wote wanaokwenda kinyume na taratibu zake, Ni tusi kubwa Kwa Kanisa katoliki kudhiaki "Utatu mtakatifu"kwa hiyo bila kujali wewe ni wa chama gani unastahili adhabu kali, Mwandishi wa hii habari ameweka ushabiki wake wenyewe ili kufanya ili suala lionekane kisiasa zaidi au kidini ili kujaribu kutaka kuthibitisha anachoweza kichwani kwake.
Nadhani ni uwezo mdogo tu wa mwandishi wa kuchanganua mambo, kwa vile kama angetaka habari yake iwe na mantiki angeenda kwa Askofu husika kupata uhalisia wa habari yenyewe badala ya kuandika yeye anachofikiri ni sahihi.