chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,695
- 4,947
Ha ha haa
Wanawaandaa waumini ili wawe viongozi waisaidie kupitisha pesa za wizi benki ya mkombozi ili cash flow iwe active na benki ikopesheke wafungue matawi mengi
Safi sana na kwenye ibada Jumapili ya leo watangaze makanisa yoote na misiktini ijumaa watangaze waumini wao wakajiandikishe na wawambie wenzao ambao hawakuwepo kanisani.
Na wasiojiandikisha na kutimiza wajibu wao wa kiraia bila kujali imani zao. Wasije wakalalamika baadaye maana nchi hivi sasa kila mtu ni mlalamishi hata yule alishindwa kutimiza wajibu wake wa kiraia na yule aliyekabidhiwa madaraka kwa manufaa ha umma wote wakalalamika. Sasa dawa ni kuchagua ngano kati ya pumba
Hilo sio tusi. Ukweli unabaki na Escrol na Benki ya mkombozi.
Joka la mdimu hilo na kansa ya nchi!
Leo ktk Kongamano la ibada ya pamoja jimbo la Dar ikiwa ni kilele cha sikukuu ya mavuno jimbo ibada iliyoongozwa na kardinal Pengo, moja kati ya vitu walivyohamasisha watumishi hawa ni kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura serikali za mtaa
My take ile kazi ya kumaliza uharamia wa watawala ndio itakuwa imeanza nadhani watumishi hawa wamejipanga sasa kama alivyo ambiwa sitta na BMK yake kuwa tutawaambia watu wetu nini cha kufanya
Jipange sawa sawa!Hili ndilo la muhimu kazi hii ikisimamiwa vyema hawa wezi ni walaini sana kuwang'oa
Leo ktk Kongamano la ibada ya pamoja jimbo la Dar ikiwa ni kilele cha sikukuu ya mavuno jimbo ibada iliyoongozwa na kardinal Pengo, moja kati ya vitu walivyohamasisha watumishi hawa ni kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura serikali za mtaa
My take ile kazi ya kumaliza uharamia wa watawala ndio itakuwa imeanza nadhani watumishi hawa wamejipanga sasa kama alivyo ambiwa sitta na BMK yake kuwa tutawaambia watu wetu nini cha kufanya
Kongamano na ibada!?Leo ktk Kongamano la ibada ya pamoja jimbo la Dar ikiwa ni kilele cha sikukuu ya mavuno jimbo ibada iliyoongozwa na kardinal Pengo, moja kati ya vitu walivyohamasisha watumishi hawa ni kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura serikali za mtaa
My take ile kazi ya kumaliza uharamia wa watawala ndio itakuwa imeanza nadhani watumishi hawa wamejipanga sasa kama alivyo ambiwa sitta na BMK yake kuwa tutawaambia watu wetu nini cha kufanya