Kanisa Katoliki la hamasisha waumini wake kujiandisha kwa ajiri ya serikali za mtaa

chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,164
2,000
Leo ktk Kongamano la ibada ya pamoja jimbo la Dar ikiwa ni kilele cha sikukuu ya mavuno jimbo ibada iliyoongozwa na kardinal Pengo, moja kati ya vitu walivyohamasisha watumishi hawa ni kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura serikali za mtaa

My take ile kazi ya kumaliza uharamia wa watawala ndio itakuwa imeanza nadhani watumishi hawa wamejipanga sasa kama alivyo ambiwa sitta na BMK yake kuwa tutawaambia watu wetu nini cha kufanya
------------------
Up dates

Leo makanisani(katoliki) kazi ni mja tu magubiri hayakuwa marefu ila mapadri wametumia muda mwingi na hasa kanisa nililosari mimi nimeuliza sehemu nyingine hali haikuwa tofauti sana

Padri wetu kaweka msisitizo na kusema kila mtu ajiandikisha atapitia kukagua kupitia jumuiya ndogo ndogo na ole wake muumini anayekaidi kwani ni utovu wa nidham kwa mamlaka za kichungaji
Zaidi amesema tuchagua viongozi watakao tuvusha amesema msiangalie dini ila kwenye chama muwe makini(ukawa).

Hongereni viongozi wetu
 
schlumberger

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
886
250
Ha ha haa
Wanawaandaa waumini ili wawe viongozi waisaidie kupitisha pesa za wizi benki ya mkombozi ili cash flow iwe active na benki ikopesheke wafungue matawi mengi
 
Brahnman

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
1,716
2,000
Safi sana na kwenye ibada Jumapili ya leo watangaze makanisa yoote na misiktini ijumaa watangaze waumini wao wakajiandikishe na wawambie wenzao ambao hawakuwepo kanisani.
 
Juaangavu

JF-Expert Member
Nov 3, 2009
931
250
Na wasiojiandikisha na kutimiza wajibu wao wa kiraia bila kujali imani zao. Wasije wakalalamika baadaye maana nchi hivi sasa kila mtu ni mlalamishi hata yule alishindwa kutimiza wajibu wake wa kiraia na yule aliyekabidhiwa madaraka kwa manufaa ha umma wote wakalalamika. Sasa dawa ni kuchagua ngano kati ya pumba
 
schlumberger

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
886
250
Hilo sio tusi. Ukweli unabaki na Escrol na Benki ya mkombozi.
Joka la mdimu hilo na kansa ya nchi!
 
chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,164
2,000
Safi sana na kwenye ibada Jumapili ya leo watangaze makanisa yoote na misiktini ijumaa watangaze waumini wao wakajiandikishe na wawambie wenzao ambao hawakuwepo kanisani.
Hili ndilo la muhimu kazi hii ikisimamiwa vyema hawa wezi ni walaini sana kuwang'oa
 
chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,164
2,000
Na wasiojiandikisha na kutimiza wajibu wao wa kiraia bila kujali imani zao. Wasije wakalalamika baadaye maana nchi hivi sasa kila mtu ni mlalamishi hata yule alishindwa kutimiza wajibu wake wa kiraia na yule aliyekabidhiwa madaraka kwa manufaa ha umma wote wakalalamika. Sasa dawa ni kuchagua ngano kati ya pumba
Ifike mahali tuseme kulalamika sasa basi
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,768
2,000
Leo ktk Kongamano la ibada ya pamoja jimbo la Dar ikiwa ni kilele cha sikukuu ya mavuno jimbo ibada iliyoongozwa na kardinal Pengo, moja kati ya vitu walivyohamasisha watumishi hawa ni kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura serikali za mtaa

My take ile kazi ya kumaliza uharamia wa watawala ndio itakuwa imeanza nadhani watumishi hawa wamejipanga sasa kama alivyo ambiwa sitta na BMK yake kuwa tutawaambia watu wetu nini cha kufanya
Msije na fikira potofu ...Serikali Mara nyingi hutoa matangazo yake Muhimu yasomwe kwenye nyumba Za ibada...mfano kujiandikisha Sensa ,uchaguzi ,Tahadhari Za magonjwa,Chanjo etc ukizingatia kwenye Jamii zetu hasa vijijini sehemu pekee ambayo ni rahisi kupata mkusanyiko ni makanisani au misikitini
 
mjinga

JF-Expert Member
May 11, 2008
328
195
Leo ktk Kongamano la ibada ya pamoja jimbo la Dar ikiwa ni kilele cha sikukuu ya mavuno jimbo ibada iliyoongozwa na kardinal Pengo, moja kati ya vitu walivyohamasisha watumishi hawa ni kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura serikali za mtaa

My take ile kazi ya kumaliza uharamia wa watawala ndio itakuwa imeanza nadhani watumishi hawa wamejipanga sasa kama alivyo ambiwa sitta na BMK yake kuwa tutawaambia watu wetu nini cha kufanya
Mkuu Maharamia wa CCM mbona watakwisha kabla hata ya uchaguzi…Hii skendo ya Singa mbona CCM chali kaka mwaka huu…wenyewe ccm wanajua hilo…tembea na tv na jenerata yako siku ya juamatau…maana mboga na ugali vitamwagwa siku hiyo
 
mululu

JF-Expert Member
Nov 7, 2014
743
500
Kanisa Katoliki ni kanisa makini sana, neno la uzima linakaa vichwani mwa watu wenye maisha mazr yanayoletwa na viongozi wenye maono, mimi muumini wenu nitajiandikisha na nitapga kura kumchagua kiongozi mwenye maono
 
mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,448
1,225
fedha imetoka BOT benki ya taifa imeingia kwenye account ya mtu binafsi pale mkombozi ulitararaji BENKI MKOMBOZI ifanye nini?
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,657
2,000
Leo ktk Kongamano la ibada ya pamoja jimbo la Dar ikiwa ni kilele cha sikukuu ya mavuno jimbo ibada iliyoongozwa na kardinal Pengo, moja kati ya vitu walivyohamasisha watumishi hawa ni kujiandikisha kwa ajiri ya kupiga kura serikali za mtaa

My take ile kazi ya kumaliza uharamia wa watawala ndio itakuwa imeanza nadhani watumishi hawa wamejipanga sasa kama alivyo ambiwa sitta na BMK yake kuwa tutawaambia watu wetu nini cha kufanya
Kongamano na ibada!?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom