jiwekuu770 JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 2,246 Reaction score 1,646 Dec 13, 2018 #1 mimi n muumini mwema, najua humu wapo wenye kuweza kusaidia...aisee Nina shida na contact za kanisa katoliki LA kisarawe kwa yyte mwenye mawasiliano na mapadre Wa pale tafathari...Nina shida muhimu sana Niko mbali mkoan siwez fika kwa urahisi
mimi n muumini mwema, najua humu wapo wenye kuweza kusaidia...aisee Nina shida na contact za kanisa katoliki LA kisarawe kwa yyte mwenye mawasiliano na mapadre Wa pale tafathari...Nina shida muhimu sana Niko mbali mkoan siwez fika kwa urahisi
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,082 Reaction score 15,067 Dec 13, 2018 #2 Mcheki DC Jokate yupo pale kila jumapili.