Haihitaji ufahamu mkubwa kugundua kuwa madai yako ni uongo mtupu!
Wakati Yesu alikuja duniani hata babu wa babu wa mwanzilishi wa uislamu alikuwa hajazaliwa! Kwa hiyo uislam haukuwepo! Haiwezekani Yesu awe mwislam wakati uislam haikuwepo. Kwa faida ya baadhi ya watu ni kuwa Mwanzilishi wa uislam alizaliwa mwaka 570-karne ya tano baada Kristo(Yesu), wakati Yesu alizaliwa karne ya kwanza.
Km Yesu kazaliwa Karne ya Kwanza Na Ibrahim Kazaliwa karne ya -10 au?Haihitaji ufahamu mkubwa kugundua kuwa madai yako ni uongo mtupu!
Wakati Yesu alikuja duniani hata babu wa babu wa mwanzilishi wa uislamu alikuwa hajazaliwa! Kwa hiyo uislam haukuwepo! Haiwezekani Yesu awe mwislam wakati uislam haikuwepo. Kwa faida ya baadhi ya watu ni kuwa Mwanzilishi wa uislam alizaliwa mwaka 570-karne ya tano baada Kristo(Yesu), wakati Yesu alizaliwa karne ya kwanza.
Waulize wafuasi wa uislam! Mimi niulize maana ya Ukristo kama ukitaka!Nini maana ya uislam??
Waulize wafuasi wa uislam! Mimi niulize maana ya Ukristo kama ukitaka!
Yesu aliacha duniani kundi la wafuasi wake waliokuwa wanaitwa "wanafunzi wa Yesu" miongoni mwa wanafinzi wa Yesu walikuwepo mitume 12. Baada ya Yesu kufa, kufufuka kisha kupaa mbinguni wanafunzi waliendelea kuongezeka. Watu walianza kuwaita wafuasi wa Yesu kuwa ni "wakristo" pale antiokia katika karne hiyo ya kwanza kabla hata ya uongofu wa Sauli aliyekuja kuitwa Paulo.Km Yesu kazaliwa Karne ya Kwanza Na Ibrahim Kazaliwa karne ya -10 au?
Daudi, Solomon, na Moses Hawa Wote walizaliwa karne 0 au?
Unapotaka kujenga hoja Jazba zako peleka kanisani. Hapa Tunakwenda kwa Ushahidi wa MAANDIKO.
Sasa tuanze na moja hapa.
Kitu Kiitwacho UKRISTO kimebuniwa Juzi tu. Kwenye ANDIKO Hakipo. Na Wala HAKUNA mtu yyt wakati wa yesu aliyewahi Kuitwa Au KUJIITA MKRISTO. Km una andiko linalokwambie Wewe UWE MKRISTO nipe na Mimi Mnibatize bila maji.
Haya Tupe hio maana ya UKRISTO kwa Ushahidi wa ANDIKO?Waulize wafuasi wa uislam! Mimi niulize maana ya Ukristo kama ukitaka!
Unaona Ee.Yesu aliacha duniani kundi la wafuasi wake waliokuwa wanaitwa "wanafunzi wa Yesu" miongoni mwa wanafinzi wa Yesu walikuwepo mitume 12. Baada ya Yesu kufa, kufufuka kisha kupaa mbinguni wanafunzi waliendelea kuongezeka. Watu walianza kuwaita wafuasi wa Yesu kuwa ni "wakristo" pale antiokia katika karne hiyo ya kwanza kabla hata ya uongofu wa Sauli aliyekuja kuitwa Paulo.
Unaona Ee.
Kumbe UKRISTO umeanzishwa Baada ya Yesu KUFA!
Sasa vipi udai Umeanza na Yesu?
Na Nani aliwapa mamlaka ya Kujiita WAKRISTO?
Kwanini Yesu hakuwa kusema hatta siku moja kuwa :kwa sababu nyie ni Wanafunzi wangu na mnanifuata mimi nyie mtajiita WAKRISTO?
Jaribu tena.
mathayo 5;27Wacha kumsingizia Yesu mambo ambayo HAKUFANYA.
Msikilize YESU anasema NINI hapa.
Mathayo 5.17-20
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,
YESU anasema "Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,".
Vipi useme ALIBADILI?
Wapi Yesu kasema ALIBADILI Sheria Za TORATI.
Mbona Mnamsingizia YESU kwa MANENO YA PAULO?
Paulo Ni Muongo. Na hakuna Mkristo wa Kweli asiejua hilo.
Yeye Paulo ndio MPINGA SHARIA ZA TORATI.
Nipe andiko Yesu Kasema alibadili Sheria.
ila nikuulize swali wejamaaWacha kumsingizia Yesu mambo ambayo HAKUFANYA.
Msikilize YESU anasema NINI hapa.
Mathayo 5.17-20
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,
YESU anasema "Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,".
Vipi useme ALIBADILI?
Wapi Yesu kasema ALIBADILI Sheria Za TORATI.
Mbona Mnamsingizia YESU kwa MANENO YA PAULO?
Paulo Ni Muongo. Na hakuna Mkristo wa Kweli asiejua hilo.
Yeye Paulo ndio MPINGA SHARIA ZA TORATI.
Nipe andiko Yesu Kasema alibadili Sheria.
Yesu alitoa hii amri" But those enemies of mine who did not want me to be king over them--bring them here and kill them in front of me." luke 19:27
Ungeambiwa Mara ngapi?Yesu alitoa hii amri
kwasababu hii,..
mfano tu najua haiwez kutokea
nataka nikupe logic uelewe,...mfano Mungu akikutokea akakwambia ua mtu flani,..
Mungu kakupa amri,..ukiua unapata dhambi???????
pale Yesu alisema alitoa amri yeye kma mwana wa Mungu kwa pale alipo yeye kma yeye,..kuuwa ni dhambi
Mungu hawez kupingana na kwenda kinyume na maandiko,..
alishasema usiuwe ni iko hivyo
kuua ni dhambi,so Yesu alitoa amri kma mwana WA Mungu mwenye uweza wote,.
na pale hakuuliwa mtu
sababu kama hao adui zake wangeuliwa tungeambiwa pia...,
we ndugu umesoma ukaelewa hili andiko au umepaste kutoka google,....You weren't lying to us but to God."- As soon as Ananias heard these words, he fell to the floor and died.- Everyone who heard about it was terrified.-
Mmmmh...mpendwa hlo cyo kanisa doh!!!!tena muongo kabsa hyo kiongoz wakeeMBONA SISI TUNASALI UCHI?! KWA MTUME NA NABII TITTO KIGMBONI!
Mmmmh...mpendwa hlo cyo kanisa doh!!!!tena muongo kabsa hyo kiongoz wakeeMBONA SISI TUNASALI UCHI?! KWA MTUME NA NABII TITTO KIGMBONI!
Mkuu mbona unajichanganya?we ndugu umesoma ukaelewa hili andiko au umepaste kutoka google,....
matendo 5;1-11
petro hakumgusa mtu kwa mkono wake na kumuua anania na mkewe safira,....
soma hapa
matendo 5;3-5
Petro akasema,Anania kwanini shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho mtakatifu,na kuzuia kwa siri sehemu
ya thamani ya kiwanja????
4;kilipokuwa kwako hakikuwa mali yako? Nakilipokuwa kimekwisha kuuzwa thamani yake haikuwa ktk uwezo wako?
ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako?,Hukumwambia uongo mwanadamu,bali Mungu.
5;Anania aliposikia maneno haya akaanguka,akafa.Hofu nyingi ikawapata watu wote waliyoyasikia haya,..
hapo ni wapi petro alipouwa????
kma Si Mungu mwentewe aliamua kutoa sunction watu wajue ukimdanganya Mungu kupitia mtume impact yake inakuaje,...
petro hakusema maneno ya kumuomba Mungu kuwa amuue anania,...ila ALIVYOMWAMBIA ANANIA
Anania akafa,...
ni wa\pi petro kaua???????
kwann petro aliesabiwa ndani ya mitume kumi na wawili????Yesu anasema ktk Mathayo 16:23
"Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu."
Huyu ndio Muanzilishi wa JENGO LA KANISA!.
Yesu hakuwahi kusali KANISANI wala WANAFUNZI WAKE 12 hawakuwahi KULIONA JENGO LIITWALO KANISA.
Sasa habari ya PETRO achana nayo. Huyu ni KIKWAZO kwa Yesu.
umeshindwa kuelewa nimemquote nani,...Mkuu mbona unajichanganya?
Nani kasema PETRO aliua?
Na toka lini Mtu ana uwezo wa kumshika binaadamu mwenzake AKAFA?
Huyu Petro kwanza Usimlete hapa.manake Yesu Alimuita SHETANI na ni Kikwazo kwake.
Yesu anasema ktk Mathayo 16:23
"Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu."
Huyu ndio Muanzilishi wa JENGO LA KANISA!.
Yesu hakuwahi kusali KANISANI wala WANAFUNZI WAKE 12 hawakuwahi KULIONA JENGO LIITWALO KANISA.
Sasa habari ya PETRO achana nayo. Huyu ni KIKWAZO kwa Yesu.
Swali langu la Awali Wapi Yesu KASEMA Sheria za TORATI zipuuzwe? Au zisifuatwe?
Naomba Andiko la MANENO YAKE YESU. sio maneno ya PAULO.
Paulo Hajamuona Yesu wala Kuwahi Kuishi nae ktk maisha yake yote.
Paulo na Gwajima ni sawa tu.
Wote watu wa Maslahi. Pamoja na Karani wake LUKA. Hawa ndio Waanzilishi wa HII Imani yako ya Kumpiga MUNGU.
we huelewi,..Sasa huoni kama unazidi Kutuchanganya hapa?
Sio nyir mnaodai kila siku Ati Yesu KAFA kwa ajili ya Dhambi Zenu!
Sasa vipi uje useme tena kila mtu atasema mambo yake mbele ya Mungu?
Huoni mnazidi kujichanganya?
Nasubiri jibu langu la Awali.
Je YESU ALIBADILI Sheria Hatta moja ya TORATI?
we endelea kuniita MPUUZI lkn Leo Wacha wasomaji waone Baina yangu muislamu na Wewe Mfuasi wa BIBLIA nani haitambui imani yake.