Kanisa ambalo mchungaji wake ni haramu kwake kukanyaga chini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Dini nyengine.jpg
Dini nyengine3.jpg
Dini nyengine !!!!!.jpg
 
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. (Quran 3:19)

"..Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu." (Quran 3:64)
 
Quran inatutaka kuishika Sabato takatifu... Kwanini mmesahau kuhusu hili?
 
Your sentence is not clear ndugu yangu kwa Adam, please clarify.
Itakua wanahofia kupeba midume wenzao migongoni kwa hali hii inayoonekana kuna siku atataka kupebwa mgongo ilihali mbebaji akiwa amelazimishwa kubeba akiwa haba nguo maana hata ndoa za jinsia moja hufungwa huko
 
Yesu hakufanya hayo yote ukiona mtu anafanya hayo jua ni ibilisi kamtuma
Ukristo ni dini iliyotengenezwa na watu ndio maana kila mara inabadilika mpaka wamefikia kuabudu sanamu la shetani. Sishangai kwa sababu hii dini haukutoka kwa Mungu.

Yesu ni Muislamu, (Paulo ndio mwanzilishi wa Ukristo).
 
Back
Top Bottom