Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,264
- 2,961
Dawa ya madem wanaoandika magazet ni hyo tu..unamuacha anaangaika wee...afu unachora txt moja iziyozid maneno 5 kama ile tulikuwa tunafundishwa kwa kiswahil kumuandikia ankoNilijua tayr Alishapanic mkuu,
Kwaiyo nilimpotezea tu hasira zake ziishe