Kanirubuni kumbe mke wa mtu

Kanirubuni kumbe mke wa mtu

alinihakikishia kwa kweli nlikuwa sina shaka hata kidogo ilifikia wakat akawa ananiweka DP kwene wasap sindo nikaamini 100%
Duh! Huyo mwanmke ana hatari... Kwa maelezo yako, huna hatia ila huyo mwanaume hapo ana chake... Siku akifilisika huyo mwanamke atamvumilia kwa siku 5 tu!
 
Duh! Huyo mwanmke ana hatari... Kwa maelezo yako, huna hatia ila huyo mwanaume hapo ana chake... Siku akifilisika huyo mwanamke atamvumilia kwa siku 5 tu!
mwanamke kakosea yeye halafu kanuna wakat ingetakiwa amuangukie mumewe
 
Dah majanga sana haya, mzee ukaloweka siku mbili, nadhani siku ya kwanza ukavaa ndomu ila siku ya pili ukazoea aaah mbona ana afya nzuri tu huyu, twafaaa.
 
Nipe namba ake huyo dada mie nipo Mwanza mkuu
 
mkuu usije kumwambia ukweli na kama vp mpotezee tu.. akituma sms au akipiga simu we achana nazo.. akikufuata hapo atakuwa kalianzisha yeye.. unamtengeneza kisawa sawa!!!
 
ukimuona uwezi kuamini full shungi yani muislam kumbe mwongo
Ukitaka kujua kuwa mke anauma oa afu ufanyiwe kama ulivyomfanyia huyu jamaa.nakushauri achana na hii tabia mkuu
Bilashaka umu jamvini wenye hizi tabia wengi tu na ndio hao wanaokwambia mpige mkwara,ila kiukweli mke anauma acha utani
Demu wako tu ukijua anamegwa na msela inakuuma ndo iwe mke kk
Mm nadhani simple way ni kubadili namba anza ukurasa mwingine.naamini utaoa uko mbeleni na utakuja kuonja hayo maumivu ya jamaa ndipo utakuja kuamini ninachosema.jamaa inamuuma sana ndio maana anafanya hivyo
 
muulize aliikuta bikra? halafu mjibu kuwa alikuwa demu wangu kitambo nishapiga sana ila juzi alivyokuja sikupiga
 
Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...ana wengi huyo usije ukawa chambo ..wapotezee wote yeye na mkewe
 
Ukitaka kujua kuwa mke anauma oa afu ufanyiwe kama ulivyomfanyia huyu jamaa.nakushauri achana na hii tabia mkuu
Bilashaka umu jamvini wenye hizi tabia wengi tu na ndio hao wanaokwambia mpige mkwara,ila kiukweli mke anauma acha utani
Demu wako tu ukijua anamegwa na msela inakuuma ndo iwe mke kk
Mm nadhani simple way ni kubadili namba anza ukurasa mwingine.naamini utaoa uko mbeleni na utakuja kuonja hayo maumivu ya jamaa ndipo utakuja kuamini ninachosema.jamaa inamuuma sana ndio maana anafanya hivyo
uzury sikamuonesha jamaa kibury nimekubali makosa ila makosa yapo kwa mkewe lakini yote hayo tuliyamaliza ntachofanya ntachange namba
 
Nakumbuka mwaka 2009 nilikuwa nafanya kazi Mwanza rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa baadhi ya wanawake hawana huruma,nilipomdodosa aliniambia (na yeye alikuwa amekutwa na jambo kama lako),Cha msingi Mwombe sana Mungu ili akuepushe na hali hiyo,pia hii ikufundishe utafute mtu ambaye yuko serious ili muanze maisha ya ndoa,nakutakia siku njema.
 
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu,

Kwa kifupi ni kwamba kulikuwa na dada mmoja ambaye tulisoma naye chuo miaka ya 2009-2012 kwa kipindi hicho tulikuwa na mahusiano but baada ya kumaliza tulipotezana sasa hivi majuzi aka ni add fb na kuanza kuchat na mimi na akanambia yupo Tabora tuliongea mengi ndipo alipoanza kuingiza mambo ya mapenzi kwamba tuonane cha kwanza nilimuuliza kama hajaolewa au la akadai hajaolewa na hana mtoto.

Yeye yupo Mwanza mm kwa sasa nipo Kigoma siku moja alinipigia simu kuwa yupo njiani anakuja sikuweza hata kumzuia alifika na nikampokea nakumbuka alikaa kwangu siku 2 na aliondoka so kwa kuwa alinambia yupo pekee mimi nilikuwa nampigia simu kila mara hadi usiku la haula kumbe ni mwongo anaye mume sema mume ni mtu wa kutokatoka.

Siku moja mchana nikapiga simu nilishangaa anaongea kiuoga mie nikakata kidogo nikapigiwa simu na jamaa na akanambia niachane na wife ake nilimfafanulia kila kitu na kuanzia siku hiyo nilimlaani yule mwanamke na nilikata mawasiliano tatizo mme wake ananidodosa eti nimesex na mke wake au la kimsingi nimemjibu sikafanya naye chochote na nikamwambia mke wake hakufika kwangu ila ki ukweli nilifanya naye kwa kuwa sikujua sasa jamaa ananambia eti kama nimefanya na mke wake litakalonipata nisimlaumu amekuwa akinitumia meseji kila siku na anadai toka siku nilivyopiga simu na akanibaini mkewe amekuwa hamuongeleshi jamaa ameninyima amani sio siri.
Sasa mkuu, una uhakika gani kuwa hayuko humu jf. Wakati mwingine ni vizuri kuwa na siri yako mwenyewe. Sasa kama umemjibu kua hujasex na mkewe na hapa umetoa full details hadi mnayoongeleshana wenyewe, unaficha au unaweka wazi
 
Back
Top Bottom