jamani wana jf. Sio kama nimetunga ila nikweli. Shost yangu kapewa likizo na bwana wake mpaka kombe la dunia liishe. Hv kweli ni haki? Eti tv ipo na tbc1 na tbc2 zipo lakini anaenda kuangalia mpira kwenye bar...duh? Badirikeni jaman mnadanganya mnaenda kwenye mpira kumbe mnaenda kuchepuka.
Duuuh!mwambie shost ako avae kimitego aone nguvu ya kipochi manyoya,WC itasahaulika mbona!!
hahahaaaa!!akishaweka ndani atakumbuka mechi thuubutuuuu!!Siku hyo utaona jinsi unapigwa dushe macho yako kwenye TV
hahahaaaa!!akishaweka ndani atakumbuka mechi thuubutuuuu!!