Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,311
- 7,957
Basi achana nae mwambie kwake zilikupeleka njaa tu.Siwz kua na wame wawil hcho ktu haiwz tokea

Ningkuwa kimoymoyo namendea nisngkuja na hili wazo kuomba ushaur hapa
ujanani nilikutana na jambo kama hili Kyela wakati tukifanya magendo ya power namba moja na sukari pori kwa pori na akina X ambaye kwasasa ni mbunge wa jimbo flani ndani ya mbeya na ni maarufu kwa biashara ya vipodozi,sasa pale nilikutana na dada ambaye kiukweli naweza sema ni moja kati ya wanawake waliowahi kunipenda sana aisee ndipo akaniomba nizae nae mtoto ili hata siku nikiondoka awe ana mtu wa kumfanya anikumbuke na alikuwa anajiweza kifedha na alisema kuhusu malezi atalea mwenyewe mwanzo nilikataa ila baadae niliingia mkenge nikakubali,mamvo yalienda sawa akabahatika kujifungua mtoto wa kiume na hapa ndipo kero zikaanza aisee yan nilikuwa mhuni asiye na mke lakini kichwa kilikuwa kinawaka moto sasa wewe mwenye ndoa itakuaje kama mambo yakija kupinduka,ilifikia kipindi kero zikazidi hadi nikabadili hata route ya biashara nkaanza kuingia malawi kupitia mto flani upo pale pemba karibia na tunduma,mbaya zaidi niliwah kumwambia kijiji nachotokea(ndani ya iringa)aisee kuna siku sina hili wala lile nilimkuta nyumbani kwa mzee wangu kaleta mtoto....ni hadithi ndefu sana ila nilisusiwa mtoto ambaye kwa sasa ni mtu mzima sasa
Kataa hiyo kitu kwa faida yako,familia yako na hiyo ndoa yako yenye fulaha ndgu yangu
Una uhakika gani mkuu? Huyo ana mzigo tayari....anakuandalia mazingira tu ukilainika ndio unapewa breaking news.Hapana boss hana mimba kabisaa nina uhakika na ninacho kisema
Thanks for sharing your experience.ujanani nilikutana na jambo kama hili Kyela wakati tukifanya magendo ya power namba moja na sukari pori kwa pori na akina X ambaye kwasasa ni mbunge wa jimbo flani ndani ya mbeya na ni maarufu kwa biashara ya vipodozi,sasa pale nilikutana na dada ambaye kiukweli naweza sema ni moja kati ya wanawake waliowahi kunipenda sana aisee ndipo akaniomba nizae nae mtoto ili hata siku nikiondoka awe ana mtu wa kumfanya anikumbuke na alikuwa anajiweza kifedha na alisema kuhusu malezi atalea mwenyewe mwanzo nilikataa ila baadae niliingia mkenge nikakubali,mamvo yalienda sawa akabahatika kujifungua mtoto wa kiume na hapa ndipo kero zikaanza aisee yan nilikuwa mhuni asiye na mke lakini kichwa kilikuwa kinawaka moto sasa wewe mwenye ndoa itakuaje kama mambo yakija kupinduka,ilifikia kipindi kero zikazidi hadi nikabadili hata route ya biashara nkaanza kuingia malawi kupitia mto flani upo pale pemba karibia na tunduma,mbaya zaidi niliwah kumwambia kijiji nachotokea(ndani ya iringa)aisee kuna siku sina hili wala lile nilimkuta nyumbani kwa mzee wangu kaleta mtoto....ni hadithi ndefu sana ila nilisusiwa mtoto ambaye kwa sasa ni mtu mzima sasa
Kataa hiyo kitu kwa faida yako,familia yako na hiyo ndoa yako yenye fulaha ndgu yangu

Baada ya kutembelea mji mmoja nilbahatika kukutana na Bint mwenye maisha/Biashara zake.
Baadaya muda tulianza mahusiano lakin nilimuambia ukwl kuwa nina mke na ni Baba wa mtoto mmoja,
tuldet naye mara mbil tu kwa miez miwl tofaut nilienda mwaka jana mwez 9 ndo mwez ambao mahsiano Yalianza na nikaenda mwz 10 baada ya hapo sjaenda tena maana nilcho kifata nilkamisha.
Cha ajabu mwez huu yaan Jana saa 2:45pm kanpigia sm ananiomba Tuzae me nikamwambia ukwl siwz tunza Nyumba mbil I mean kulisha hku na hku kasma kuhsu hlo nisjal atahdumia kila kitu labda akiugua tu ndo nawza lazmika Changia Napo kwa 25% tu.
Nimemwambia subr nilfkirie wana Jf Naomba mawazo yenu nikubal na Je wife akjua? Japo yupo mbal ila hii Dunia hamna sir ya watu wawl
Nb: Ndoa yangu ni moja kat ya Ndoa zenye furaha Dunian
You better negotiate on your own, think teice, think rationally and very critical about the future life of your kid,Baada ya kutembelea mji mmoja nilbahatika kukutana na Bint mwenye maisha/Biashara zake.
Baadaya muda tulianza mahusiano lakin nilimuambia ukwl kuwa nina mke na ni Baba wa mtoto mmoja,
tuldet naye mara mbil tu kwa miez miwl tofaut nilienda mwaka jana mwez 9 ndo mwez ambao mahsiano Yalianza na nikaenda mwz 10 baada ya hapo sjaenda tena maana nilcho kifata nilkamisha.
Cha ajabu mwez huu yaan Jana saa 2:45pm kanpigia sm ananiomba Tuzae me nikamwambia ukwl siwz tunza Nyumba mbil I mean kulisha hku na hku kasma kuhsu hlo nisjal atahdumia kila kitu labda akiugua tu ndo nawza lazmika Changia Napo kwa 25% tu.
Nimemwambia subr nilfkirie wana Jf Naomba mawazo yenu nikubal na Je wife akjua? Japo yupo mbal ila hii Dunia hamna sir ya watu wawl
Nb: Ndoa yangu ni moja kat ya Ndoa zenye furaha Dunian
ingekua na furaha usingeanza mahusiano.tubu acha dhambi za kizembe/hasara
ukizaa nae utazidisha upendo home zaidi, amini hilo.....! usipoteze nafasi, sisi wanaume tupo wachache wenye kutia mimba, shauri yako....Baada ya kutembelea mji mmoja nilbahatika kukutana na Bint mwenye maisha/Biashara zake.
Baadaya muda tulianza mahusiano lakin nilimuambia ukwl kuwa nina mke na ni Baba wa mtoto mmoja,
tuldet naye mara mbil tu kwa miez miwl tofaut nilienda mwaka jana mwez 9 ndo mwez ambao mahsiano Yalianza na nikaenda mwz 10 baada ya hapo sjaenda tena maana nilcho kifata nilkamisha.
Cha ajabu mwez huu yaan Jana saa 2:45pm kanpigia sm ananiomba Tuzae me nikamwambia ukwl siwz tunza Nyumba mbil I mean kulisha hku na hku kasma kuhsu hlo nisjal atahdumia kila kitu labda akiugua tu ndo nawza lazmika Changia Napo kwa 25% tu.
Nimemwambia subr nilfkirie wana Jf Naomba mawazo yenu nikubal na Je wife akjua? Japo yupo mbal ila hii Dunia hamna sir ya watu wawl
Nb: Ndoa yangu ni moja kat ya Ndoa zenye furaha Dunian
Baada ya kutembelea mji mmoja nilbahatika kukutana na Bint mwenye maisha/Biashara zake.
Baadaya muda tulianza mahusiano lakin nilimuambia ukwl kuwa nina mke na ni Baba wa mtoto mmoja,
tuldet naye mara mbil tu kwa miez miwl tofaut nilienda mwaka jana mwez 9 ndo mwez ambao mahsiano Yalianza na nikaenda mwz 10 baada ya hapo sjaenda tena maana nilcho kifata nilkamisha.
Cha ajabu mwez huu yaan Jana saa 2:45pm kanpigia sm ananiomba Tuzae me nikamwambia ukwl siwz tunza Nyumba mbil I mean kulisha hku na hku kasma kuhsu hlo nisjal atahdumia kila kitu labda akiugua tu ndo nawza lazmika Changia Napo kwa 25% tu.
Nimemwambia subr nilfkirie wana Jf Naomba mawazo yenu nikubal na Je wife akjua? Japo yupo mbal ila hii Dunia hamna sir ya watu wawl
Nb: Ndoa yangu ni moja kat ya Ndoa zenye furaha Dunian
okay noted.Anajiita lewiathan, tafuta maana ya hili neno utajua kwa nini anafanya hivyo..