Kaniomba mwenyewe

Ulipotoka kwenda kwenye maji alijua kuwa unaleta "wazee wa kazi" walambe hiyo pesa!..na huenda alikuona unawabipbip watu kadha akajua itakula kwake, dawa ni kukutosa hadi afike kwa mwenye kiwanja..!
Ni hivyo tu, na si tofauti!
 
Alikuja kugundua baadae anaweza mkaba ndo maana alivyo fika kwenye plot akamwita tena amrushe roho.

Inaonyesha huyu haaminiki kama rafiki yako wa kweli asingeweza kukutoroka bank urafiki wa mashaka.
 
Ulipotoka kwenda kwenye maji alijua kuwa unaleta "wazee wa kazi" walambe hiyo pesa!..na huenda alikuona unawabipbip watu kadha akajua itakula kwake, dawa ni kukutosa hadi afike kwa mwenye kiwanja..!
Ni hivyo tu, na si tofauti!

Amenifikili tofauti sana huyu
 
ulipotoka kwenda kwenye maji alijua kuwa unaleta "wazee wa kazi" walambe hiyo pesa!..na huenda alikuona unawabipbip watu kadha akajua itakula kwake, dawa ni kukutosa hadi afike kwa mwenye kiwanja..!
Ni hivyo tu, na si tofauti!

basi kichwa yake haipo sawa huyo. Ina maana hakufikiria hilo before hajamtoa mwenzie kazini!
 
Yule rafiki ambae hakupigii cmu anakupigia anapo taka kuja kulala kwako.

Cku hizi anapiga sijui naye ni member huku maana mh, baada ya hapa na kuapply baath za ushauri za humu.. mh ameelewa kwamba ni 2 way trafic.
 
Cku hizi anapiga sijui naye ni member huku maana mh, baada ya hapa na kuapply baath za ushauri za humu.. mh ameelewa kwamba ni 2 way trafic.

Angalia linaweza kuwa limejirudi ili lipate kitu roho inapenda shauri yako. Alafu likakuachia vidonda rohoni.
 
labda unatabia ya wizi so alivyokumbuka umeona anapesa akajua uzalendo utakushinda akaamua kusepa
 
labda unatabia ya wizi so alivyokumbuka umeona anapesa akajua uzalendo utakushinda akaamua kusepa
cjawahi iba hata cent... Yeye tu na vijicent vyake kaviona labda vingi
but can elewa vibaya mno! Cna tabia hiyo
 
Muulize ana maana gani maana hata mimi amenishangaza.
 
alikuwa anapunguza idadi ya mashaiidi, maana siku hizi kila shaidi kuweka saini ni elfu 50
 
Pole sana............ila kuna kitu mfind one day then muulize
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…