Kaniletee maji haraka

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,144
Dogo alikua anacheza na wenzake akaitwa na dingi yake aliekua amejipumzisha chini ya mti mambo yakawa hivi...

Dingi..' we nanii....'

Dogo...'naaaaaaaaaaam'

Dingi....' hebu kaniletee maji ya kunywa ndani haraka'

Dogo akaenda ndani fasta... zikapita dak. 5 kimya... dak. 10 kimya... dingi akakumbuka kamtuma dogo maji akaamua kuita tena

Dingi...'we naniii' .... Kimya.... we nanii... Kimya....

Dingi akaamua kwenda ndani kujua kulikoni.....

He!

dogo amelala....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom