GE2025 Kaniki: Mkinichagua nitashughulikia Mgambo kuwakamata Bodaboda na Kero ya michango Shuleni kwa wazazi

GE2025 Kaniki: Mkinichagua nitashughulikia Mgambo kuwakamata Bodaboda na Kero ya michango Shuleni kwa wazazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Mgombea Udiwani Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, Jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Selemani Kaniki ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa elimu kwa Jeshi la akiba (Mgambo) kufuata taratibu za kisheria katika ukamatamaji wa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda huko akiwasihi wasafirishaji hao kufuata sheria za usalama barabarani.

Kaniki amesema hayo wakati akinadi sera zake katika muendelezo wa kampeni kuomba ridhaa ya wananchi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 ambapo pia ameahidi kutatua kero ya michongo midogomidogo kwa wanafunzi shuleni.

Kwa upande Mgombea ubunge jimbo la Ukonga Jerry Silaa ameahidi Serikali ya CCM itaendelea kuboresha miundombinu ya barabara endapo watachaguliwa kwa awamu nyingine.

 
Back
Top Bottom