Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,427
We acha tu!Kwahiyo utaninunulia?Ha ha ha! ! ! Sasa hivi natia pili pili na Green Salad,njoo bwana.....Acha hizo chipsi mimi nitakuongezea tupate hii kitu.
Kweli unapenda,usingizi umepotea.Naona umekuwa active mbaya!