Kaniaribia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaniaribia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Apr 4, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Team..hop mpo salama.nina uhusiano na bnt takrban miaka mi3..nimemsoma na kila niktaka kuamua nimuoe roho ikasita,hasa baada ya kumshrkisha Mungu..nikafanikiwa kuanzsha Uhusiano mwngne pemben lakn kbl cjalala nae nikaamua kumpa ukwel bnt kua cpo tyr kuish nae kwa sababu za msingi...bas bnt ndo bif likaanza,akatafuta namba ya bnt mpya,akampa maneno meng sn ya uongo na ukwel...akadai ameamua 2kose wte..bnt mpya nimeongea nae ila ni mpole na anadai hayupo tyr kulumbana au kugombea mme...anampgia kwa cku mara 5 kumkanya bnt mpya anipge chn...nimechanganyikiwa....mi pia cpend maugomv am so down yani...niache wth my lyf if ur here,peacefuly
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  rekebisha heading isomeke "sijatulia" au at least "nimejiharibia". ushauri baadae
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unachekesha kweli wewe!Yani wewe ndo unaewachanganya alafu unamsingizia dada wa watu 'amekuharibia'? Ulishindwa nini kumuacha kabla yakutafuta mwingine?Acha uhuni kijana ngoma inaua.
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Pole sana.lakini mpaka mlipoanza ku-date si mliafikiana?kama uliona mambo yanakushinda si mngekaa chini?Vipi uliingia kwenye uhusiano mwingine at the same time hujamalizana na yule mwingine?
   
 5. P

  Popompo JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33

  utavuna unachopanda wacha kutesa roho za wadada!
   
 6. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha ajabu sn au jipya...km umenielewa vzur ckua nimeanza mapenz na msichana wa pili..na am very systematic kwny maamuz yangu.nimemuacha kihalal na mctake kunihuku.cha mcng apa why hatak kukubal stuation kwmb simuhtaji..na aheshmu uhusiano wngu mpya.cmpo.by tha way She is nt yf material enaf kwangu.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Maana ya KUANZISHA MAHUSIANO MENGINE PEMBENI ni nini?!Au sio wewe uliyeandika hayo maneno?
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  nalog out kidogo. nikilejea naomba huyu mkonowasungura awe umeshamwelewesha makosa yake adhawaizi skutoi dinner jumamosi hii.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ahh mtu mwenyewe ameshaaza kukana maneno yake mwenyewe..hatuwezi kufika popote.Ngoja nilale mie...niletee chips na mishkaki ukiwa unarudi.
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Lizzy,

  Usilale njoo tule Kitimoto
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tuwe tunaogopa kumtaja bure Mungu jamani,so ulivo mshirikisha ndo alikushauri utafute msichana wa pembeni?
   
 12. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Nina wasiwasi kama huyu bwana mdogo anajua anachihitaji zaidi ya uzinzi tu.... kwanini hukumuacha kwanza ndio utafute mwingine??? Ila hiyo isikutie hofu piga chini wote anza kutafuta upya... ukikaa na maganzi mwaka hutokufa wanawake wasikusumbue akili yako mpaka unakuwa down wakati wako wengi sana!!! Ila ukianza tena kutafuta usiupe nafasi uzinzi!!!
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Sijaacha hebu andika hivi "Kaniharibia na sio kaniaribia" Nitarudi
   
 14. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mnanchakachulia thread....tatzo mkiambiwa ukwel mnajifanya wajuaaji...hamuna lolote.hbr ndio hyo apo juu km vp mripit again kusoma...nasubr ushaur mwenzenyu....kwan dhamb lakn?m2 hayupo kuolewa,na mkirejea post zangu nilishamlipua apa mkasema niachane nae...kuacha ni styl,.tn nimemueshm sn.
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Lugha yako tu inanichanganya.!!! Will be back
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona unanichokoza wewe?Nna njaa ya kufa mtu alafu hata harufu ya hiyo kitu sijasikia tangu ipande bei.
   
 17. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mi naona ww ndo hutak kuelewaNimesema hv baada ya kuona kua mwanamke nilie nae hawez kua mke wangu(kwa vgezo vyangu vya upole na ucha mungu)...niliamua nianze kujitoa mpm.on tha proces nikawa rafk na bint mwngne bla tendo la ndoa(ili uelewe)..nilimpa situatn yangu na imediately yule wa zaman nilimpa laiv...na had sasa bdo ata cjala tunda jpya,m nt afta ngonoby tha way.NATAFUTA MKE!
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama maelezo yako tu yanakushinda kuelewa ushauri ndo utaweza?Sidhani!
   
 19. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #19
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha! ! ! Sasa hivi natia pili pili na Green Salad,njoo bwana.....Acha hizo chipsi mimi nitakuongezea tupate hii kitu.

  Kweli unapenda,usingizi umepotea.Naona umekuwa active mbaya!
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  So clear,then bora unge mwambia yule wa zamani kabla hujaanza kutafuta!
  Maana ni kama ulitaka akiwa ana umia wewe uwe na pa kujishkiza,but ji tigo(express your self ) vizuri kwa huyo mpya atakuelewa tu!
  All the best
   
Loading...