Kaniaribia

Ha ha ha! ! ! Sasa hivi natia pili pili na Green Salad,njoo bwana.....Acha hizo chipsi mimi nitakuongezea tupate hii kitu.

Kweli unapenda,usingizi umepotea.Naona umekuwa active mbaya!
We acha tu!Kwahiyo utaninunulia?
 
Ha ha hah ha,sorry nilikua kule jukwa la Siasa.nina ugomvi kule,lol

Eeh..wewe tena?njoo basi huku!

Mmh ugomvi gani tena?Watamwaga mboga hao!Aise usiendelee kunitamanisha...naweza nikali machozi sasa hivi!
 
Hawawezi

Wewe si unakataa kuja,au unaogopa kurudi peke yako.

Nimeona tuendelee kutamanishana kwa sababu mwenye thread kakaa kimya,sisi tumejenga kibanda!loh
 
Team..hop mpo salama.nina uhusiano na bnt takrban miaka mi3..nimemsoma na kila niktaka kuamua nimuoe roho ikasita,hasa baada ya kumshrkisha Mungu..nikafanikiwa kuanzsha Uhusiano mwngne pemben lakn kbl cjalala nae nikaamua kumpa ukwel bnt kua cpo tyr kuish nae kwa sababu za msingi...bas bnt ndo bif likaanza,akatafuta namba ya bnt mpya,akampa maneno meng sn ya uongo na ukwel...akadai ameamua 2kose wte..bnt mpya nimeongea nae ila ni mpole na anadai hayupo tyr kulumbana au kugombea mme...anampgia kwa cku mara 5 kumkanya bnt mpya anipge chn...nimechanganyikiwa....mi pia cpend maugomv am so down yani...niache wth my lyf if ur here,peacefuly
Thread za kujikweza mpaka lini? Sasa umeshajulikana wewe ni muhuni then wat next?? Af hata uandishi wako waonesha majigambo c unashida au kwamba unaitaji msaada kama unavodai.
 
Team..hop mpo salama.nina uhusiano na bnt takrban miaka mi3..nimemsoma na kila niktaka kuamua nimuoe roho ikasita,hasa baada ya kumshrkisha Mungu..nikafanikiwa kuanzsha Uhusiano mwngne pemben lakn kbl cjalala nae nikaamua kumpa ukwel bnt kua cpo tyr kuish nae kwa sababu za msingi...bas bnt ndo bif likaanza,akatafuta namba ya bnt mpya,akampa maneno meng sn ya uongo na ukwel...akadai ameamua 2kose wte..bnt mpya nimeongea nae ila ni mpole na anadai hayupo tyr kulumbana au kugombea mme...anampgia kwa cku mara 5 kumkanya bnt mpya anipge chn...nimechanganyikiwa....mi pia cpend maugomv am so down yani...niache wth my lyf if ur here,peacefuly

hiyo namba ya simu aliitia wapi? kutoka kwenye cm yako au..
 
Hawawezi

Wewe si unakataa kuja,au unaogopa kurudi peke yako.

Nimeona tuendelee kutamanishana kwa sababu mwenye thread kakaa kimya,sisi tumejenga kibanda!loh

Mmmh!Ngoja nilale kikweli kweli sasa!
 
Mkonowapaka;1816689]Hakuna cha ajabu sn au jipya...km umenielewa vzur ckua nimeanza mapenz na msichana wa pili..na am very systematic kwny maamuz yangu.nimemuacha kihalal na mctake kunihuku.cha mcng apa why hatak kukubal stuation kwmb simuhtaji..na aheshmu uhusiano wngu mpya.cmpo.by tha way She is nt yf material enaf kwangu.

Kazi kweli kweli, huko tunako kwenda Kiswahili kitapotea.
Hivi inamaana kiswahili haujui au ndo mambo ya kubana pua mtoto wa kiume? Una umri gani kijana, isije ukawa under age ukawa uanomba ushauri hapa
?
 
Sijaacha hebu andika hivi "Kaniharibia na sio kaniaribia" Nitarudi

Dena kwa hilo tuko pamoja, waswahili hawahujui kiswahili na wala hawataki kujifunza kila kukicha ni makosa tu, kaniaribia ndo nini sasa.
 
Hahahahahahahah
mie umenichekesha
Kupita kiasi daahh

Eti
baada ya
Kumuhususha Mungu
Nikapata nyumba ndogo
daahhh unavituko kwa kweli..
 
Mkonowapaka;1816689]Hakuna cha ajabu sn au jipya...km umenielewa vzur ckua nimeanza mapenz na msichana wa pili..na am very systematic kwny maamuz yangu.nimemuacha kihalal na mctake kunihuku.cha mcng apa why hatak kukubal stuation kwmb simuhtaji..na aheshmu uhusiano wngu mpya.cmpo.by tha way She is nt yf material enaf kwangu.

Kazi kweli kweli, huko tunako kwenda Kiswahili kitapotea.
Hivi inamaana kiswahili haujui au ndo mambo ya kubana pua mtoto wa kiume? Una umri gani kijana, isije ukawa under age ukawa uanomba ushauri hapa
?

Uandishi wa aina hiyo unaniuuuuuuuudh!! Basi tu.
 
Dena kwa hilo tuko pamoja, waswahili hawahujui kiswahili na wala hawataki kujifunza kila kukicha ni makosa tu, kaniaribia ndo nini sasa.

Unajua hata ndani ya thread yake ni balaa tupu sijaelewa kabisa mie hebu soma hapa chini basi pameandikwa????
The Following User Says Thank You to Lukansola For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Hakuna Mungu wa hivo kaka, rudi tena kwake, akufundishe vizuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom