Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,760 Jun 29, 2014 #81 Honey Faith said: Jamani kila mtu anakutana na aliyeumbika? Click to expand... hahahahaha aseme shapeless achekwe
Honey Faith said: Jamani kila mtu anakutana na aliyeumbika? Click to expand... hahahahaha aseme shapeless achekwe
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 Jun 30, 2014 #82 Hata sijui una hitaji ushauri gani? Wee tafuta pesa umesha ambiwa huna hela.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Jul 1, 2014 #83 BAK said: Kanogewa na utamu, vinginevyo angesepa kimya kimya bila hata kuanzisha uzi hapa...Chezeya utamu weye!!! Click to expand... Hiyo ndo shida ya vijana wetu, kubembeleza kumezidi
BAK said: Kanogewa na utamu, vinginevyo angesepa kimya kimya bila hata kuanzisha uzi hapa...Chezeya utamu weye!!! Click to expand... Hiyo ndo shida ya vijana wetu, kubembeleza kumezidi
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Jul 1, 2014 #84 patrickkkkky said: kuumiliki mkuu niwe napiga anytime Click to expand... Tafuta hela sasa, unadhani jf watakuja kuku-baby sit na demu wako??
patrickkkkky said: kuumiliki mkuu niwe napiga anytime Click to expand... Tafuta hela sasa, unadhani jf watakuja kuku-baby sit na demu wako??
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,317 Jul 1, 2014 #85 Huna hela wewe!!!!!!!!!!
Mwanawalwa JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,014 Reaction score 302 Jul 1, 2014 #86 OLESAIDIMU said: Ha ha haaaa punda kanywa maji anajiona ana bahati kumbe maji nayo yalikuwa yanahitaji hata mnawa miguu tu!!!! Click to expand... keroro keroro keroro dah kauli hz mmh
OLESAIDIMU said: Ha ha haaaa punda kanywa maji anajiona ana bahati kumbe maji nayo yalikuwa yanahitaji hata mnawa miguu tu!!!! Click to expand... keroro keroro keroro dah kauli hz mmh