Hapana nashangaa kuwa watu wanajiua kwa sababu ya kuachwa aiseeMbona kama bado unampenda
Pssuy ushainyavua sana au hata kugusa hukugusa?Na wakati mwingine tukubali tuu ukweli kuwa upendo umeisha tusilazimishe.
Mkuu miaka 4 tokea akiwa form three aisee nilikua nayo so nimemla saanaPssuy ushainyavua sana au hata kugusa hukugusa?
Km amekula hela zako na hujawahi kummbato wewe utakua umeuangusha sana umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA)Hapana nashangaa kuwa watu wanajiua kwa sababu ya kuachwa aisee
Km umekula na ukamla tena hapo haina shida tafuta hawa chipukizi wanaokuja kwa kasi mwaka 2010Mkuu miaka 4 tokea akiwa form three aisee nilikua nayo so nimemla saana
Siyo kweli mkuu huu ni mwezi wa 4 so nilisha move on na penzi lilishakufa mda na nilishakubaliHao wapo hivo wakishaenda chuo, inaonekana bado yupo akilini hujakubali kumuacha aende, amekwacha wee umeaachwa kubali kubali aiwee mapenzi yanauma, pole sana mkuu utampata wa kuendana nawe
🤣🤣🤣🤣 muache bwana anajaribu kutoa duku duku ili aweze ku- reliefMbona kama bado unampenda
Mimi nipo na ephen wangu tu.
Kuwa bado anampenda sio tatizo,Mbona kama bado unampenda
Siwezi fanya hvooYeah hapo sawa,
ukijichanganya umtafute equation haiwezi kubalance, utakuwa mateka milele
Akimkosa dronedrake apite kwa katibu mshamba_hachekwi apate muongozoSawasawa.
Sasa mkuu karibu kweny chama chetu pendwa, mwenyekiti dronedrake atakupa muongozo, you only need to be open minded.
Hapa ulicheza kama messi mkuu big up, sema usingemjibu text yeyote ungetisha zaidi.Zikapita siku 2 mimi kimya akanicheki akaniambia ile siku ulinikera sana nikamjibu ndo hvo huo ndo ukweli akaniambia fuata mambo yako