DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola amesema kuwa wanaodhani kuwa Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan sio Nguvu ya soda katika Maendeleo ya wananchi
Kangi ameyasema hayo Leo kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Dkt. Samia Leo Oct 9,2025 Bunda Mkoani Mara.
Kangi ameyasema hayo Leo kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Dkt. Samia Leo Oct 9,2025 Bunda Mkoani Mara.