Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa
ata kuwa mwenyewe Pinda ndiyo anatishia, si ndiyo mzee wa piga tu?Nani sasa anamtisha? Si Pinda mwenyewe aliwapa ruhusa wabunge kumwajibisha kama wanaona hawajibiki?
Angekuwa chadema akasema uozo wa chama chake angeitwa msaliti, mhaini, mamluki na mengine kibao kwa sbb cdm huruhusiwi kukosoa. Safi CCM kwa kuweka demokrasia ili watu wakosoe utendaji wa chama chenu
Ulikuwa wapi mhe waziri mkuu? Utaponea wapi Kagasheki? Ulisema umenyang'anywa majukumu..we ni waziri wa namna gani..? Utaponea wapi? Utaponea wapi waziri wa mambo ya ndani! I like this guy
Kama ni usajili, kama vifanyavyo vilabu vikubwa vya mpira wa mguu, kubadilishana huko CDM wakubali kumtoa ZZK bure na wao wawe tayari kumlipia dau lolote Kangi Lugora, ili atue kwenye timu ya ushindi ya CDM, ili aongeze nguvu kwenye safu ya ushambuliaji, akisaidiana na akina Tundu Lissu, Godbless Lema,Mchungaji Msigwa, John Mnyika, Ezekiel Wenje na Sugu.jembe lugola karibu chadema ,magamba wamchukue zitto wao.
ime kafara iwe ni nini Lugola ni jembe pamoja na kuwa yuko ccmMh Mbunge Kangi Lugola,ambae amekuwa mwiba mkali kwa Mawaziri huenda akatolewa kafara baada ya kutumiwa massege za kutishiwa kuuawa huku yeye akisema kuwa hataenda kutoa ripoti Polisi.Hii ni baada ya mh Kangi Lugola kuwa miongoni mwa Wabunge waliotamka wazi bila kificho ndani ya Bunge kuwa mh Waziri Mkuu ni mzigo na anaetakiwa kujiuzulu.Wiki mbili zilizopita wakati Wabunge wakijadili ripoti ya tume ya bunge iliyowasilishwa na mwenyekiti wake Mh James Lembeli, mh Kangi Lugola alimshambulia Waziri mkuu akimtuhumu kuwa Wamempa,Ndege,Helkopita na Magari ya Vingora lakini wakati Watanzania wanauawa yeye alikua amejikalia tu Ofisini. "ulikuwa wapi Mh Waziri mkuu" tumekupa magari na vingora,tumekupa Ndege,tumekupa na hata Helkopta?Kwa habari zaidi soma gazeti la Jambo leo!
Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa
kila anye ongea bungeni anataka uwaziri? ona aibu ww mtumwa wa B7Lugola kaona hamna anaemuongelea,anaamua kuanza kujipigia debe mwenyewe.
Mwambieni uwaziri haupati ng'oo.