Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

Natamani nimuulize leo hii msimamo wake ukoje???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM a.k.a wazee wa u-turn za kufa mtu
 
Alisema hawezi kukubaliana na dhambi ya unafiki. “Nawataka wana-CCM wenzangu muweze kupima mambo badala ya kuburutwa,” alisema.

Kuhusu muundo wa Muungano, alisema hata sasa hakuna Muungano kwani Zanzibar imeshajitangazia mamlaka yake.
Kauli nzuri sana hii kwa wana ccm wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…