'Kangaroo' amkula nguruwe!!

Hivi mkonga wa kangaroo upo vipi, ni kibamia au mashine kama ya punda[emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyani mwepesi balaa hachelewi kupanda
Nyani ni mshenzi wa tabia yule mnyama ,kuna kipindi fulani Serengeti tulisahau kufunga madirisha basi wakaingia ndani halafu nadhani alikua anakung'uta kitu sealed kwenye kitanda chetu nikakuta mashuka yana damu ,halafu yenyewe yamekaa kwa mbali yana niangalia huku yana tabasamu kuwafukuza kwa hasira eti anaondoka huku anampiga miti mwenzie sijui ili nione wivu basi anakatika mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…