Ino
Member
- Dec 20, 2012
- 25
- 7
Jamaa mmoja mkazi wa lamu amempa mkewe taraka 3 baada ya kukasirishwa na maneno yaliyoandikwa kwenye kanga aliyovaa mkewe.
Jamaa ambaye alisafiri kwa muda wa miezi 2,alishtushwa aliporudi na kumkuta mkewe amevaa kanga iliyoandikwa "heri nimpe jirani kuliko kioze ndani"