Kandoro vs Lukuvi

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Mimi hata sioni kwa nini kandoro aliondolewa..
Huyu lukuvi hata sioni anachokifanya...
Na
kipindupindu kimerudi....wakati kandoro ali fanikiwa kukipiga vita....

Nyinyi mnaonaje????????
 
Eti leo nimemsikia ametoa amri mwakani,kila mwanafunzi atakaeanza kidato cha kwanza aje na dawati lake.Sijui wakimaliza wataondoka nayo au la
Tatizo la Lukuvi ni kaishia darasa la saba.
 
Huyo Kandoro alikuwepo tu kama kiongozi japo alijitahidi. Huyu Lukuvi tumpe muda jamani wala hajakaa muda mrefu hadi tuanze kumtathimini kazi yake.

I wish Makamba angerudi tena kwenye ukuu wa hili jiji la Dar, huyu mzee ndio aliliweza hili jiji.
 
huu ndio upumbavu wa viongozi wetu na kutwa tunakesha kumjadili Rostam na Lowassa wakati tunaacha mambo ya msingi pale RC anapoamuru kila mwanafunzi aje na dawatilake shuleni ...huu ni ushenzi wa hali ya juu kabisa..maana yake nini.?
 
Tumpe muda?mpaka lini?Huu ni wakati wa vitendo,isitoshe kama kazi hii ilishaifanya,alikua RC Dodoma.

Dsm ni mwenyeji,ameishi buguruni sheli,

Uwezo wake ni mdogo tu
 
Tumpe muda?mpaka lini?Huu ni wakati wa vitendo,isitoshe kama kazi hii ilishaifanya,alikua RC Dodoma.

Dsm ni mwenyeji,ameishi buguruni sheli,

Uwezo wake ni mdogo tu

sure kiongozi Lukuvi uwezo wake mdogo..Kandoro alikuwa anajitahidi but Makamba was the best off all the RCs waliopita Dar es Salaam...Lukuvi anaua sura tu..kzi yake kugombana na taxi wachore mistari mara sijui Mbagala ,,,ujinga mtupu
 
Kandoro - Zile hela alizochangisha za ujenzi wa shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam ziliishia wapi?
 
Mimi hata sioni kwa nini kandoro aliondolewa..
Huyu lukuvi hata sioni anachokifanya...
Na
kipindupindu kimerudi....wakati kandoro ali fanikiwa kukipiga vita....

Nyinyi mnaonaje????????

mi naona dar imekuwa chafu twice as much sasa, pia naona anatoa priority kwa mabo yasiyostahili vile (open to critisism) kama kuchora taksi...haya sasa hilo la watot kwenda na midawati shule.....

hakuna cha kupewa muda hapa huo alokaa hapa unatosha mbona kandoro huko mwanza tumeshaskia strategies zake kupambana na wanaua albino na pia ku-maintain status ya usafi aliyorithi toka kwa RC aliyemwachia kiti....

wale wale na mule mule tu...
 
Tumpe muda?mpaka lini?Huu ni wakati wa vitendo,isitoshe kama kazi hii ilishaifanya,alikua RC Dodoma.

Dsm ni mwenyeji,ameishi buguruni sheli,

Uwezo wake ni mdogo tu

umushororo, charity begins at home!!!!!!!!!
buguruni ndio outbreak ya kipindupindu(main supplier wa cholera DSM)

would you expect wonders frm lukuvi a resident of buguruni.....hahaaaaaaaaaaa?
 
Wakuu, mimi naona tunalinganisha nyanya na mabungo!!!

Kielimu - SIna hakika elimu ya Kandoro lakini Lukuvi ne che (yaani amefulia kwenye elimu)!!
Kisiasa - Lukuvi ni mwanasiasa zaidi
Public appeal - Kandoro yuko juu
Majungu - Mmoja zaidi

In short najaribu kusema kwamba Lukuvi hakustahili kuwa mkuu wa mkoa wa Dar kwani Dar kama kitovu cha uchumi tulistahili mtu mwenye sifa zaidi ya Lukuvi, alitakiwa mtu mwenye upeo wa maendeleo ya jamii, uchumi, mipang ulinzi na kichwa cha nguvu ili aendani na handi ya jiji

La sivyo tunaingiza siasa hata kwenye sehemu muhimu... Yaani tunaweka sekandari personnel kwenye sehemy inayohitaji gwinyi la maendeleo
 
wakuu, mimi naona tunalinganisha nyanya na mabungo!!!

Kielimu - sina hakika elimu ya kandoro lakini lukuvi ne che (yaani amefulia kwenye elimu)!!
Kisiasa - lukuvi ni mwanasiasa zaidi
public appeal - kandoro yuko juu
majungu - mmoja zaidi

in short najaribu kusema kwamba lukuvi hakustahili kuwa mkuu wa mkoa wa dar kwani dar kama kitovu cha uchumi tulistahili mtu mwenye sifa zaidi ya lukuvi, alitakiwa mtu mwenye upeo wa maendeleo ya jamii, uchumi, mipang ulinzi na kichwa cha nguvu ili aendani na handi ya jiji

la sivyo tunaingiza siasa hata kwenye sehemu muhimu... Yaani tunaweka sekandari personnel kwenye sehemy inayohitaji gwinyi la maendeleo

kwa majungu yupi zaidi?
 
huu ndio upumbavu wa viongozi wetu na kutwa tunakesha kumjadili Rostam na Lowassa wakati tunaacha mambo ya msingi pale RC anapoamuru kila mwanafunzi aje na dawatilake shuleni ...huu ni ushenzi wa hali ya juu kabisa..maana yake nini.?

Kama resoureces za nchi zingetumika vizuri basi ishu ya kwenda na madawati shuleni isingekuwepo. wanaotakiwa kupiga kelele kuhusu proportionate distribution of resources wakiwa kimya basi inabidi watu wapige kelele that is where JF comes in. The forum has a pivotal role.
 
Hapa alipaweza makamaba tu,wengine wote wababaishaji tu.mpaka leo ofisi za mkoa panaitwa kwa makamba -kweli alikuwa kiboko sana.lakini sasa mhmm uzee.
 
Kandoro ni graduate wa UDSM lakini Lukuvi ni darasa la saba lakini nasikia nae amefoji cheti cha degree ya kwanza! Otherwise ni Kihiyo lakini bingwa wa majungu!! Watu wa serikali ya Jakaya hawa!!!.
 
Kandoro ni graduate wa UDSM lakini Lukuvi ni darasa la saba lakini nasikia nae amefoji cheti cha degree ya kwanza! Otherwise ni Kihiyo lakini bingwa wa majungu!! Watu wa serikali ya Jakaya hawa!!!.
mhh.
 
Kandoro ni graduate wa UDSM lakini Lukuvi ni darasa la saba lakini nasikia nae amefoji cheti cha degree ya kwanza! Otherwise ni Kihiyo lakini bingwa wa majungu!! Watu wa serikali ya Jakaya hawa!!!.

darasa la saba?
 
Back
Top Bottom