Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 748
Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Mwanza katika pilika zake huko kwake alikuta wasamabazaji wa sukari wame hifadhi kiasi kikubwa cha sukari katika maghala yao. kama hiyo haitoshi sikusikia maelezo ya kina why wame hodhi kiasi hicho na sokoni hakuna bidhaa hiyo toka kwa wamiliki hao.
mpaka mwisho wa taarifa hiyo katika runinga sikusikia tamko la serikali juu ya kadhia hiyo,na nini watakifanya kukomesha hilo.
kwa kumalizia alijifariji kwa kununua 1kg kwa Mangi,sijui alitaka kumfilisi tu endapo angeuza bei tofauti na bei elekezi?
Alijitokeza na Afande sijui nd wa mkoa au wilaya na kusema kuzuia bidhaa hiyo kwa style walofanya watu wa sukari ni kinyume cha sheria, then what next?what the way forward to prevent this crap life style ya kutuibia kila iitwapo leo?
Hivi kuna umuhimu gani wa viongozi kuzurura tu pasipo kutoa mwelekeo halisi wa hicho wanachokutana nacho huko matembezini.
Wadau tupeni tafakuri zaidi nini kilijiri/kinajiri baada ya hizi sindimba za viongozi wetu kila kukicha.