Kanda ya Ziwa yaongoza WaNEC taifa!

Good news for sukuma gang lkn hawatatoboa.
 
Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima,Dr Musukuma, Dr Mabula nk nk

Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6 mstaafu Kasesela na sisi tumetisha sana!

Mlale unono!
Kwa hiyo Kina Musiba ruksa kuendelea na hii kitu ?
 
Hovi Sukuma gang ni mtu yeyote msukuma au anaetokea kanda ya ziwa?
Yeyote aliyekuwa mfuasi mtiifu wa jini jiwe ni sukuma gang. Ktka hawa waliotajwa ni mzee Wasira tu ndiyo siyo sukuma gang: Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima,Dr Musukuma, Dr Mabula nk nk
 
Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima,Dr Musukuma, Dr Mabula nk nk

Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6 mstaafu Kasesela na sisi tumetisha sana!

Mlale unono!
MBONA huyo wa iringa naye kwao huko huko Mzee baba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…