Mahenda alipata connection kimchezo akasambaza nguzo za umeme bongo, mara tenda ya nguzo za simu naumeme zambia, mara kateka sadc yote magu akiwa engineer, naona anakuja mchaga derm na nguzo za zege lakini bado sio tishio watagawana riziki
Asili ya mtu alikotokea huwa inambeba pia hata Marekani mtu akitokea state fulani huwa ananguvuu kumzidi aliyetokea mbali na hiyo state!
Huyu Mahenda kapigiwa kura na watu wa Iringa na kanda ya ziwa anakotokea ndo maana umeona kura zake zimekuwa nyingi kuzidi wagombea wote!