Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,723
Wanabodi
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla, au kwa jina maarufu humu, Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature ni ili ile ya Wasukuma, roho nzuri, kupenda sana, ukarimu mwingi, kujituma sana, uchapakazi, kupenda wengi na moyo wa kujitoa sana, as a result Wasukuma wanahonga sana!, tena ningekuwa nazo za kutosha, hata mimi ningehonga gari, nyumba na hata ghorofa!.

Naomba bandiko hili lisitafsiriwe kama ni bandiko la kuchochea ukabila, bali ni bandiko elimishi kuwaelimisha wengine somo linaloitwa managing diversity, kuukubali utofauti wetu lakini tuu wamoja kwa kujikubali jinsi ulivyo, na wengine pia tuwakubali jinsi walivyo, kuwa sisi binadamu wote tunautofauti miongoni mwetu, lakini ni wamoja, pia nitaendesha somo la psychoanalysis ya ukali wa baadhi ya makabila, kuwa sio kila ukali ni udikteta, ukali mwingine ni wa nature tuu ya mtu kutokana na asili, makuzi, malezi na mazingira aliyokulia na hivyo ndio zungumza yake with reference to

Kanda ya Ziwa na Kuongea Kwa Ukali: Ukali wa Rais Magufuli kuzungumza kwa ukali ni Asili Tuu ya Wasukuma, Wasukuma ni miongoni mwa makabila ya wafugaji, fuatilia watu wote wa makabila ya wafugaji, aongea yao!. Unajua mfano Wamasai wanaongea na ng'ombe?, just imagine mtu anaongea na ng'ombe, unatumia sauti kiasi gani ili ng'ombe asikie?. Ukiishazoea kuongea kwa sauti kubwa na kwa ukali, ongea hiyo baadae ndio inageuka nature yako. Huo Sio Udikteta bali ndio nature ya Wasukuma wale Chapa Ng'ombe halisi! , hivyo huwezi kumlaumu mtu au kumshutumu kwa nature yake hivyo mtu alivyo ndivyo jinsi alivyo, tummwelewe, tumkubali na Kushirikiana naye katika kulijenga taifa letu changa! .

Rais John Pombe Joseph Magufuli anajulikana kwa ukali wake na misimamo thabiti linapokuja suala la kuchapa kazi bila mchezo tangu akiwa Waziri wa Ujenzi. Hana hulka ya kukopesha kopesha akikuta mambo hayendi sawa huchukua hatua za papo kwa papo kwa kugomba kwa ukali kwenye public ya watu!.

Nakumbuka kauli zake akiwagombeza wazi wazi on the spot wakandarasi waliojenga mabarabara chini ya kiwango!, aliwalazimisha kurudia kwa viwango kwa gharama zao au kuwatimua na kuwashitaki.
Wengi mmeshuhudia zile kauli za ukali kabisa katika tumbua tumbua na wakati akitoa maonyo mbalimbali likiwemo onyo maarufu la "fyoko fyoko", "wasinijaribu ", "watakiona cha mtema kuni", "wanacheza na maisha yao "etc.

Inawezekana kauli kama hizi na tone anayoitumia ya ukali huku akiongea kwa mkazo na kukazia maneno kunachangia baadhi ya watu kumlalamikia rais Magufuli kuwa ni dikiteta haswa kwa kumlinganisha na mtangulizi wake, rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa mpole, akiongea kwa cheko na bashasha, always smilling, zilizopelekea kuitwa rais dhaifu!, hivyo hii contrast ya upole wa Kikwete na ukali wa Magufuli kupelekea Magufuli kuonekana ni udikteta?

Swali ni kama kwa ukali huu wa rais Magufuli kwenye public ya watu kumtamfanya aitwe dikiteta, then can you imagine hali ikoje huko ndani kwenye corridors na vikao vya ndani kwa ndani, wanaipatapata vipi?!.

Jee humo ndani kwa ndani kwenye vikao au face to face encounter na wasaidizi wake hali itakuwaje? !. Just thinking aloud, usikute kuna watu (tena viongozi wakubwa tuu), wanagombezwa kama watoto wadogo?!. (Thinking aloud about anything is allowed!).

Faraja Kwa Ukali wa Magufuli.

Kwa vile mimi ni miongoni mwa watu wenye asili ya Kanda ya Ziwa, japo sikukulia kule, nawaombeni jamani tumwelewa na tusimlaumu bure Magufuli wa Watanzania kwa kuongea kwa ukali huku akiyakaza maneno!, kwa sababu he mean what he says and practice what he preaches kwa kuyaishi maneno yake kwa maneno na matendo!.

Kanda ya Ziwa na Kauli za Ukali.

Kule kwenye Kanda ya Ziwa, kauli za ukali ni kitu cha kawaida,hiyo ndio namna watu wanavyozungumza in everyday life, utakuta mtu anatoa maagizo kama anagomba hata kwa mkewe baadhi ya maagizo hayo hutolewa kama amri tena mbele ya watoto!.

Ni kawaida sana kushuhudia mama zetu wakigombezwa mbele ya watoto na wakati mwingine hata 'kuchangamshwa changamshwa' "the Mara Style" kwa tukofi tumoja tuwili twa upendo, ambapo kwa wenzetu wa Mkoa wa Mara ambapo mwanamke asipopata ' kuchangamshwa changamshwa' hujiona kama hapendwi!, hivyo atafanya visa ili 'achangamshwe' na ndipo huridhika na upendo wa mumewe (macho men, macho women, machocism, machocist !).

Hii style ya Kanda ya Ziwa kuongea kwa ukali kama wanagomba sio kwenye mambo serious tuu, hata kwenye mambo ya social, mfano ile ngoma yetu maarufu ya "Chagulaga", wakati makabila mengine wakitaka kuoa, huanza kwa kutongoza kwanza ukubaliwe!,

kisha uripoti kwenye ukoo, then wakifanya long negotiations za kutuma washenga, kubembeleza, kujinyekeza, kujipendekeza, kujikombakomba ili upate mchumba!. Kwa Wasukuma, hakuna kubembelezana wala negotiations! , ukiona unapenda unavuta tuu kwanza, unachukua unachotaka bila kuomba! ,yaani unajitwalia tuu alafu taratibu nyingine zote zitafuatia!.

Wasukuma na Roho Nzuri.

Japo Wasukuma wanaongea kwa ukali, lakini ndilo kabila linaloongoza kwa kuwa na watu wenye roho nzuri, watu wenye upendo kupita hata upendo wa mshumaa, ndilo kabila linaloongoza kwa kujitolea, Kushirikiana na kusaidiwa sio tuu ndugu hata majirani na wasio na uwezo, hivyo ukali huu ni ukali wa matamshi tuu, ndani ya ukali huo kuna upendo wa ajabu! .

Wasukuma na Moyo wa Kutoa.

Hili la kutokuwa na diplomasia ya kubembeleza ndipo kumepelekea Wasukuma kuwa ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini, kupenda bila mipaka hivyo kupenda wengi!. (hili la mtu mmoja kupenda mtu mmoja tuu! nalo ni ubaguzi!, dunia imejaa wazuri wengi na kwa bahati nzuri sana wanawake ni wengi kuliko wanaume!, kama kila mtu atapenda mmoja tuu, then hao watakaobaki wapendwe na nani?. Huu ni ubaguzi tuu!. Watu wako wengi wa kutosha! ,kwa nini upende mmoja tuu!, huu ni uchoyo! , Wasukuma sio wa wachoyo! .

Wasukuma na Kuhonga! .
Kutokana na kutokuwepo kwa mila ya kutongoza, na kufuatia kuwa na roho nzuri sana, na moyo wa kujitoa na kujitolea, Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa kuhonga! ,mtu kugongwa pesa nyingi, au kuhongwa gari ni jambo la kawaida sana kwa kabila hili! . Utakuta mtu amehongwa hadi nyumba!, mimi kuna binti namfahamu amehongwa hadi Ghorofa! .

Haya ni baadhi tuu ya mambo mazuri ya Wasukuma! .
Nawaombeni sana tusiwalaumu Wasukuma kwa ukali au kwa kila kitu, vitu vingine ni nature tuu ya mila na desturi za Wasukuma!. Ila pamoja na haya yote, hayaondoi ile hoja ya msingi kuwa Magufuli ni dikiteta, ila ni dikiteta mzalendo.

Pamoja na Nature Hii ya Rais Magufuli Kuongea Kwa Ukali ni Nature Yake, lakini...
Wale wenye access naye, wanapaswa kumshauri, kumsaidia kupunguza ukali. Mimi binafsi nilibahatika kukutana naye kwenye Viwanja vya Saba Saba na kumsalimia, na kwa vile chance ya kumuona rais ndio hiyo hiyo hiyo, nilipokutana naye, nilimuuliza hivi
(video clip itafuata) ila kuja wana jf waliona na walipandisha uzi huu
Pascal Mayalla: Rais punguza ukali | JamiiForums | The Home of ...

Paskali
 
Wanabodi
Declaration of Interest.
Mimi Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature ni ili ile ya Wasukuma, roho nzuri, kupenda sana, kupenda wengi na kuhonga sana!, tena ningekuwa nazo za kutosha, hata mimi pia ningehonga gari, nyumba na hata Ghorofa!.

Naomba bandiko hili lisitafsiriwe kama ni bandiko la kuchochea ukabila, bali ni bandiko elimishi kuwaelimisha wengine kuwa sio kila ukali ni udikteta, ukali mwingine ni wa nature tuu ya mtu na hivyo ndio zungumza yake with reference to
Kanda ya Ziwa na Kuongea Kwa Ukali: Ukali wa Rais Magufuli kuzungumza kwa ukali ni Asili Tuu ya Wasukuma, huo Sio Udikteta bali ndio nature ya Wasukuma wale Chapa Ng'ombe halisi! , hivyo huwezi kumlaumu mtu au kumshutumu kwa nature yake hivyo mtu alivyo ndivyo jinsi alivyo, tummwelewe, tumkubali na Kushirikiana naye katika kulijenga taifa letu changa! .

Rais John Pombe Joseph Magufuli anajulikana kwa ukali wake na misimamo thabiti linapokuja suala la kuchapa kazi bila mchezo tangu akiwa Waziri wa Ujenzi. Hana hulka ya kukopesha kopesha akikuta mambo hayendi sawa huchukua hatua za papo kwa papo kwa kugomba kwa ukali kwenye public ya watu!.

Nakumbuka kauli zake akiwagombeza wazi wazi on the spot wakandarasi waliojenga mabarabara chini ya kiwango!, aliwalazimisha kurudia kwa viwango kwa gharama zao au kuwatimua na kuwashitaki.

Wengi mmeshuhudia zile kauli za ukali kabisa katika tumbua tumbua na wakati akitoa maonyo mbalimbali likiwemo onyo maarufu la "fyoko fyoko", "wasinijaribu ", "watakiona cha mtema kuni", "wanacheza na maisha yao "etc.

Inawezekana kauli kama hizi na tone anayoitumia ya ukali huku akiongea kwa mkazo na kukazia maneno kunachangia baadhi ya watu kumlalamikia rais Magufuli kuwa ni dikiteta haswa kwa kumlinganisha na mtangulizi wake, rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa mpole, akiongea kwa cheko na bashasha, always smilling, zilizopelekea kuitwa rais dhaifu!, hivyo hii contrast ya upole wa Kikwete na ukali wa Magufuli kupelekea Magufuli kuonekana ni udikteta? !.

Swali ni kama kwa ukali huu wa rais Magufuli kwenye public ya watu kumtamfanya aitwe dikiteta, then can you imagine hali ikoje huko ndani kwenye corridors na vikao vya ndani kwa ndani, wanaipatapata vipi?!.

Jee humo ndani kwa ndani kwenye vikao au face to face encounter na wasaidizi wake hali itakuwaje? !. Just thinking aloud, usikute kuna watu (tena viongozi wakubwa tuu), wanagombezwa kama watoto wadogo?!. (Thinking aloud about anything is allowed!).

Faraja Kwa Ukali wa Magufuli.
Kwa vile mimi ni miongoni mwa watu wenye asili ya Kanda ya Ziwa, japo sikukulia kule, nawaombeni jamani tumwelewa na tusimlaumu bure Magufuli wa Watanzania kwa kuongea kwa ukali huku akiyakaza maneno!, kwa sababu he mean what he says and practice what he preaches kwa kuyaishi maneno yake kwa maneno na matendo!.

Kanda ya Ziwa na Kauli za Ukali.
Kule kwenye Kanda ya Ziwa, kauli za ukali ni kitu cha kawaida,hiyo ndio namna watu wanavyozungumza in everyday life, utakuta mtu anatoa maagizo kama anagomba hata kwa mkewe baadhi ya maagizo hayo hutolewa kama amri tena mbele ya watoto!. Ni kawaida sana kushuhudia mama zetu wakigombezwa mbele ya watoto na wakati mwingine hata 'kuchangamshwa changamshwa' "the Mara Style" kwa tukofi tumoja tuwili twa upendo, ambapo kwa wenzetu wa Mkoa wa Mara ambapo mwanamke asipopata ' kuchangamshwa changamshwa' hujiona kama hapendwi!, hivyo atafanya visa ili 'achangamshwe' na ndipo huridhika na upendo wa mumewe (macho men, macho women, machocism, machocist !).

Hii style ya Kanda ya Ziwa kuongea kwa ukali kama wanagomba sio kwenye mambo serious tuu, hata kwenye mambo ya social, mfano ile ngoma yetu maarufu ya "Chagulaga", wakati makabila mengine wakitaka kuoa, huanza kwa kutongoza kwanza ukubaliwe!, kisha uripoti kwenye ukoo, then wakifanya long negotiations za kutuma washenga, kubembeleza, kujinyekeza, kujipendekeza, kujikombakomba ili upate mchumba!. Kwa Wasukuma, hakuna kubembelezana wala negotiations! , ukiona unapenda unavuta tuu kwanza, unachukua unachotaka bila kuomba! ,yaani unajitwalia tuu alafu taratibu nyingine zote zitafuatia!.

Hili la kutokuwa na diplomasia ya kubembeleza ndipo kumepelekea Wasukuma kuwa ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini, tena sio kupenda mmoja tuu! , ila pia kutokana na kutokuwepo kwa mila ya kutongoza, Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa kuhonga! ,mtu kugongwa pesa nyingi, au kuhongwa gari ni jambo la kawaida sana kwa kabila hili! . Utakuta mtu amehongwa hadi nyumba!, mimi kuna binti namfahamu amehongwa hadi Ghorofa! .

Haya ni mambo ya Wasukuma! .

Nawaombeni sana tusiwalaumu Wasukuma kwa ukali au kwa kila kitu, vitu vingine ni nature tuu ya mila na desturi za Wasukuma! .

Pasco
Wewe usitake kuharibu makabila ya kanda ya ziwa eti wakali,hakuna kabila goigoi na waoga kama wasukuma utasikia wanasema ndoo tabu,kwanza kabila wapole kuliko wote kanda ya ziwa ni wasukuma,kuna wahaya,wajita,wkerewenk,mkoa wa Mara kabila korofi ni wakuria na wenyewe kutokana na muingiliano wanaendelea kushuka ,lakini sbbu kuu ya wakuria kuwa wakorofi ilikuwa ni elimu na kukosa kuchanganyana na muingiliano wa wageni,kwahiyo jamaa yako kuwa mkali ni yeye binafsi usisingizie kabila lake
 
Mimi Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature ni ili ile ya Wasukuma, roho nzuri, kupenda sana, kupenda wengi na kuhonga sana!, tena ningekuwa nazo za kutosha, hata mimi pia ningehonga gari, nyumba na hata Ghorofa!.
Mkuu, hebu fafanua vizuri hapo!
 
wasukuma kila kitu wanatumia nguvu nyingi hadi kuongea

ila usikiuke sheria kisa wewe ni msukuma
Kafanya utafiti tena utafiti wako huu ni uongo mtupu wangekuwa wakuria sawa,labda Imani za kishirikina ndiyo imeenea baadhi ya maeneo lakini sio ukali,suala la wivu wa mapenzi hiyo ni karibu nchi nzima watu wana wivu wa mapenzi!
 
Wanabodi
Declaration of Interest.
Mimi Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature ni ili ile ya Wasukuma, roho nzuri, kupenda sana, kupenda wengi na kuhonga sana!, tena ningekuwa nazo za kutosha, hata mimi pia ningehonga gari, nyumba na hata Ghorofa!.

Naomba bandiko hili lisitafsiriwe kama ni bandiko la kuchochea ukabila, bali ni bandiko elimishi kuwaelimisha wengine kuwa sio kila ukali ni udikteta, ukali mwingine ni wa nature tuu ya mtu na hivyo ndio zungumza yake with reference to
Kanda ya Ziwa na Kuongea Kwa Ukali: Ukali wa Rais Magufuli kuzungumza kwa ukali ni Asili Tuu ya Wasukuma, huo Sio Udikteta bali ndio nature ya Wasukuma wale Chapa Ng'ombe halisi! , hivyo huwezi kumlaumu mtu au kumshutumu kwa nature yake hivyo mtu alivyo ndivyo jinsi alivyo, tummwelewe, tumkubali na Kushirikiana naye katika kulijenga taifa letu changa! .

Rais John Pombe Joseph Magufuli anajulikana kwa ukali wake na misimamo thabiti linapokuja suala la kuchapa kazi bila mchezo tangu akiwa Waziri wa Ujenzi. Hana hulka ya kukopesha kopesha akikuta mambo hayendi sawa huchukua hatua za papo kwa papo kwa kugomba kwa ukali kwenye public ya watu!.

Nakumbuka kauli zake akiwagombeza wazi wazi on the spot wakandarasi waliojenga mabarabara chini ya kiwango!, aliwalazimisha kurudia kwa viwango kwa gharama zao au kuwatimua na kuwashitaki.

Wengi mmeshuhudia zile kauli za ukali kabisa katika tumbua tumbua na wakati akitoa maonyo mbalimbali likiwemo onyo maarufu la "fyoko fyoko", "wasinijaribu ", "watakiona cha mtema kuni", "wanacheza na maisha yao "etc.

Inawezekana kauli kama hizi na tone anayoitumia ya ukali huku akiongea kwa mkazo na kukazia maneno kunachangia baadhi ya watu kumlalamikia rais Magufuli kuwa ni dikiteta haswa kwa kumlinganisha na mtangulizi wake, rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa mpole, akiongea kwa cheko na bashasha, always smilling, zilizopelekea kuitwa rais dhaifu!, hivyo hii contrast ya upole wa Kikwete na ukali wa Magufuli kupelekea Magufuli kuonekana ni udikteta? !.

Swali ni kama kwa ukali huu wa rais Magufuli kwenye public ya watu kumtamfanya aitwe dikiteta, then can you imagine hali ikoje huko ndani kwenye corridors na vikao vya ndani kwa ndani, wanaipatapata vipi?!.

Jee humo ndani kwa ndani kwenye vikao au face to face encounter na wasaidizi wake hali itakuwaje? !. Just thinking aloud, usikute kuna watu (tena viongozi wakubwa tuu), wanagombezwa kama watoto wadogo?!. (Thinking aloud about anything is allowed!).

Faraja Kwa Ukali wa Magufuli.
Kwa vile mimi ni miongoni mwa watu wenye asili ya Kanda ya Ziwa, japo sikukulia kule, nawaombeni jamani tumwelewa na tusimlaumu bure Magufuli wa Watanzania kwa kuongea kwa ukali huku akiyakaza maneno!, kwa sababu he mean what he says and practice what he preaches kwa kuyaishi maneno yake kwa maneno na matendo!.

Kanda ya Ziwa na Kauli za Ukali.
Kule kwenye Kanda ya Ziwa, kauli za ukali ni kitu cha kawaida,hiyo ndio namna watu wanavyozungumza in everyday life, utakuta mtu anatoa maagizo kama anagomba hata kwa mkewe baadhi ya maagizo hayo hutolewa kama amri tena mbele ya watoto!. Ni kawaida sana kushuhudia mama zetu wakigombezwa mbele ya watoto na wakati mwingine hata 'kuchangamshwa changamshwa' "the Mara Style" kwa tukofi tumoja tuwili twa upendo, ambapo kwa wenzetu wa Mkoa wa Mara ambapo mwanamke asipopata ' kuchangamshwa changamshwa' hujiona kama hapendwi!, hivyo atafanya visa ili 'achangamshwe' na ndipo huridhika na upendo wa mumewe (macho men, macho women, machocism, machocist !).

Hii style ya Kanda ya Ziwa kuongea kwa ukali kama wanagomba sio kwenye mambo serious tuu, hata kwenye mambo ya social, mfano ile ngoma yetu maarufu ya "Chagulaga", wakati makabila mengine wakitaka kuoa, huanza kwa kutongoza kwanza ukubaliwe!, kisha uripoti kwenye ukoo, then wakifanya long negotiations za kutuma washenga, kubembeleza, kujinyekeza, kujipendekeza, kujikombakomba ili upate mchumba!. Kwa Wasukuma, hakuna kubembelezana wala negotiations! , ukiona unapenda unavuta tuu kwanza, unachukua unachotaka bila kuomba! ,yaani unajitwalia tuu alafu taratibu nyingine zote zitafuatia!.
Wasukuma na Roho Nzuri.
Japo Wasukuma wanaongea kwa ukali, lakini ndilo kabila linaloongoza kwa kuwa na watu wenye roho nzuri, watu wenye upendo kupita hata upendo wa mshumaa, ndilo kabila linaloongoza kwa kujitolea, Kushirikiana na kusaidiwa sio tuu ndugu hata majirani na wasio na uwezo, hivyo ukali huu ni ukali wa matamshi tuu, ndani ya ukali huo kuna upendo wa ajabu! .

Wasukuma na Moyo wa Kutoa.
Hili la kutokuwa na diplomasia ya kubembeleza ndipo kumepelekea Wasukuma kuwa ndilo kabila linaloongoza kwa kupenda nchini, kupenda bila mipaka hivyo kupenda wengi!. (hili la mtu mmoja kupenda mtu mmoja tuu! nalo ni ubaguzi!, dunia imejaa wazuri wengi na kwa bahati nzuri sana wanawake ni wengi kuliko wanaume!, kama kila mtu atapenda mmoja tuu, then hao watakaobaki wapendwe na nani?. Huu ni ubaguzi tuu!. Watu wako wengi wa kutosha! ,kwa nini upende mmoja tuu!, huu ni uchoyo! , Wasukuma sio wa wachoyo! .

Wasukuma na Kuhonga! .
Kutokana na kutokuwepo kwa mila ya kutongoza, na kufuatia kuwa na roho nzuri sana, na moyo wa kujitoa na kujitolea, Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa kuhonga! ,mtu kugongwa pesa nyingi, au kuhongwa gari ni jambo la kawaida sana kwa kabila hili! . Utakuta mtu amehongwa hadi nyumba!, mimi kuna binti namfahamu amehongwa hadi Ghorofa! .

Haya ni baadhi tuu ya mambo mazuri ya Wasukuma! .

Nawaombeni sana tusiwalaumu Wasukuma kwa ukali au kwa kila kitu, vitu vingine ni nature tuu ya mila na desturi za Wasukuma! .

Pasco

Acha uongo kwa wasukuma!!!
WASUKUMA HATUNA KAULI ZA UKALI, kuhonga hizo ni tabia za mtu.
Kama ilivyo kwa uchoyo wivu na n.k
Kwa hili umekurupuka.
 
Pasco bana. Nani alihongwa ghorofa?
Wewe ulishawahi kuhonga cha juu sana kiasi gani?

Ila kupenda ni sawa, sisi Wasukuma tunajua kupenda. Cc geniveros
Mkuu Plato, kwa Msukuma kuhonga ni kitu cha kawaida sana!, tujisenti, , tujigari, tujinyumba hata tujigorofa sio kitu kwetu, ili mradi mtu umependa!. Mimi mwenywe, nimeishahonga sana, nimehonga gari, nimehonga nyumba!, na sasa nimehonga ghorofa!.
Kwa msio jua, kuhonga ni kutoa chochote kwa ajili ya kupata penzi!, kuanzia kishika uchumba, maharri, hadi zawadi zozote kwa mkeo/mpenzi wako ni hongo!, wanawake kibao, wamehongwa nyumba na magari na waume zao!. Hongo yangu ya kwanza kubwa ilikuwa ni kuhonga mshaharra wangu mzima!.

Nikiwa RTD wakati huo tunalipwa mishahara cash dirishani kwenye bahasha iliokatwa nusu, siku moja kwenye foleni ya mishahara, dada mmoja telephone operetta mweupe na aliyejaliwa haswa! , akachelewa kupokelewa zamu, hivyo akaomba msamaria yoyote aingie mbele yake ili awahi kurudi chumba cha simu ambacho ni next to cash office na simu inaring tunaisikia! . Mimi nikajitolea aje mbele yangu! ,huyo dada kwa kujua alivyo jaaliwa! , na foleni za kubanana kila mtu anabana kwa mwenzie ili mtu asiingilie kati! , amini usiamini nilimwambia kwa jinsi nilivyo hoi, naweza kuhonga hata mishahara mzima! , yule dada akabisha na kuniambia nijaribu! . Kiukweli nilipofika dirishani niliipokea bahasha na kuzikabidhi hivyo hivyo nzima nzima kwa yule dada bila kupunguza hata senti moja! .

What next baada ya hapo na niliishije bila mshahara huku mshahara wote nimeonga !, sio subject ya jukwaa la Siasa! . The point is tuna upendo mkubwa wa ajabu! , tunapenda kuliko hata ule upendo wa mshumaa kumulikia wengine huku kwake kukiteketea! .
Pasco
 
Nakuuliza mheshimiwa Mr Pasco kweni Mkuu wa kaya ni msukuma? Ukilijua hilo basi utakuwa unawajua vizuri wazazi wake na makuzi yake
 
Back
Top Bottom