Pilitoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 1,201
- 515
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu