Mkuu mbona hizo takwimu zako hazionyeshi kitu kinacholinganishwa, mfano tukijumlisha shinyanga na tabora tayari zinavuka 100%. Tunaomba kujua ni data zipi zimewekwa kwenye numerator na denominator hadi kuweza ku calculate hizo percentages na ungetuwekea takwimu za mikoa yote ili tuweze kufanya ulinganifu ambao ni objective zaidi. Unaposema utamaduni wa uchawi unakuwa reflected na mauaji ya albino, unataka tuamini kuwa mikoa ambayo haina matukio ya mauaji ya albino hakuna uchawi? mbona maeneo mengine kibao ambayo hayapo kanda ya ziwa tumesikia matukio ya ushirikina, mfano kuchuna ngozi kule mbeya, ishu za sumbawanga na maeneo ya kusini mfano, ruangwa na yale matukio ya kwenda kutambika kila mwaka kule kaskazini, au kinachofanyika huko kwengine hakiitwi uchawi, labda tuseme ni ushirikina...
Hili mbona rahisi kulidhibiti; kwa nini liwe tatizo.Tanzania. In Tanzania, albinos represent one in every 1429 births, a much higher rate than in any other nation. ... Albinos are especially persecuted in Shinyanga and Mwanza, where witch doctors have promoted a belief in the potential magical and superstitious properties of albinos' body parts
Kama unashaka, iondoe.Huu ni ukabila!.
P
Mti wenye matunda ndio unaopigwa na mawe
Kanda ya ziwa inawaumiza vichwa sana Mpaka mnaweweseka , Kila kukicha mnawashambulia wakati wao wako kimya busy na kazi, Mmetawaliwa na ukabila na ukanda mpaka mmekuwa kero
Hakuna ukanda sifa ya umoja wa kijamaa kama kanda ya ziwa makabila yote ya watafutaji yanapatikana huko
badilikeni nyie kanda pendwa.Huu ni ukabila!.
P
Hili mbona rahisi kulidhibiti; kwa nini liwe tatizo.
Tuwalete 'mabeberu' wawe mbadala, kwani hawawezi kuwa 'substitution' nzuri kwa albino, ambao kiukweli ni ndugu zetu?
Tutakuwa tumemaliza matatizo mawili kwa mpigo, kama vile "kuua ndege wawili kwa jiwe moja."
Tatizo la kwanza ni - ubeberu wao
Tatizo la pili ni - kuwasitiri ndugu zetu albino.
Au unasemaje mkuu 'Kamundu'
Mada hizi za kulenga sehemu fulani palipo na tatizo inaonekana ziko ndani ya damu na mioyo yenu. Ni tatizo ambalo hamuwezi kuachana nalo, ni sehemu ya maisha yenu kama ilivyo kule nyumbani mlipoanzia maisha yenu hapa duniani.
Sidhani kuwa wewe kwenye mada hii unalo suluhisho la matatizo; badala yake unachochea matatizo. Usidhani hatuelewi lengo ni nini!Tutoe suluhisho la matatizo badala ya madongo. Nimesema waache mila mbovu wewe unasemaje waendelee na ndoa za utotoni au ? Msimamo wako ni upi?
Sidhani kuwa wewe kwenye mada hii unalo suluhisho la matatizo; badala yake unachochea matatizo. Usidhani hatuelewi lengo ni nini!
Kazi ni kutambua mnachokifanya.
Sidhani kuwa wewe kwenye mada hii unalo suluhisho la matatizo; badala yake unachochea matatizo. Usidhani hatuelewi lengo ni nini!
Kazi ni kutambua mnachokifanya.
Huko kaskazini hawaendi kutambika kila mwaka kama unavyosema. Ni kweli kuna mengi ya kubadilika kanda ya ziwa mathalani uchawi. Ni watu wachache mno kanda hii wanafanya kitu bila ndumba, hata awe professa chuo kikuu.Mkuu mbona hizo takwimu zako hazionyeshi kitu kinacholinganishwa, mfano tukijumlisha shinyanga na tabora tayari zinavuka 100%. Tunaomba kujua ni data zipi zimewekwa kwenye numerator na denominator hadi kuweza ku calculate hizo percentages na ungetuwekea takwimu za mikoa yote ili tuweze kufanya ulinganifu ambao ni objective zaidi.
Unaposema utamaduni wa uchawi unakuwa reflected na mauaji ya albino, unataka tuamini kuwa mikoa ambayo haina matukio ya mauaji ya albino hakuna uchawi?
Mbona maeneo mengine kibao ambayo hayapo kanda ya ziwa tumesikia matukio ya ushirikina, mfano kuchuna ngozi kule mbeya, ishu za sumbawanga na maeneo ya kusini mfano, ruangwa na yale matukio ya kwenda kutambika kila mwaka kule kaskazini, au kinachofanyika huko kwengine hakiitwi uchawi, labda tuseme ni ushirikina...