Kanda maalum ya ushirikina

Inategemea na aina ya uchawi
Japo sizijui hizo aina za uchawi ila nimepata kitu kidogo. Sasa mkuu kutokana na uzoefu wako siku ikitokea wachawi wakianzisha bifu na mtifuano kati ya hawa wa pwani na wale wa bara unafikiri ushindi utaenda wapi?
 
Mitifuano ipo mingi tu ni kwa vile haionekani
 
Sio rahisi, lakini watu wengi wanageuzwa ngamia
 
Kwa kifupi mlevi yoyoyte hawezi kuwa mchawi, atafichua siri, japo anaweza kuwa mnywaji wa kawaida sio kulewa chakari
HAPA umepotosha kabisa, UONGO !!!. Wachawi walevi wapo wengi sana wa pombe na hata bangi!!!
 
Mkuu Mshana jr samahani,kuna Mzee Fulani alikuwa Lindi yeye kama kuna mbaya wake anataka amdhuri yeye alikuwa anajigeuza Simba fasta anaenda anafanya yake then anarudi kwake,je hilo unalizungumziaje huyu Mzee yupo kisasa au kizamani?
 
Mshana jr je ni kweli wachawi lazima watoe sadaka ya watoto waliowazaa ndio amekamilisha masharti?
 
Mkuu Mshana jr samahani,kuna Mzee Fulani alikuwa Lindi yeye kama kuna mbaya wake anataka amdhuri yeye alikuwa anajigeuza Simba fasta anaenda anafanya yake then anarudi kwake,je hilo unalizungumziaje huyu Mzee yupo kisasa au kizamani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hicho kipo tu ila kwakuwa siku hizi wanyama kama simba wanatoweka kutokana na sababu mbalimbali hiyo soon itakuwa ya kizamani
 
Inawezekana na wewe ni fundi umejuaje?
 
Yaliyomo yamo.
Natafuta mlaalamu wa tego nigawane faida na waume wenza.
 
Morogoro Kuna kijiji wana mahakama ya wachawi inahukumu ukiloga,wazee wanakupima unakili kosa mwenyewe ....wenyewe wanasema mahakama ya kimila.
 
Kwa hiyo tunaweza kufananisha na vitz kwa huku kwetu sasa mwenye hammer au bugatti anakuwa na usafiri gani kwa mfano maana umeandika teknolojia na usasa upo pia huko
Haujasikia wanamiliki viboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…