Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,241
😅😅😅Aliwabana mshiko?labda aliwakata kwenye chakula ,hotel na mavazi.Huyu alikuwa mwanamuziki na mwimbaji mzuri ila alichukua baadhi ya wapigaji gitaa Tanzania kama sijakosea Dar na Arusha, baada ya kuzunguka nao kwa muda mrefu na mkataba kwisha aliwapunja malipo yao walirudi nchini wakinung'unika sana
Alikuwa mhuni tu yule, Muungwana ni Madilu, alililiwa na wengi alipofariki na hata Rais wao alitangaza maombolezo😅😅😅Aliwabana mshiko?labda aliwakata kwenye chakula ,hotel na mavazi.
😅😅Mie nimezisikiza nikiwa bado primary skul hukoHuyo mzee ngoma zake na wanywaji na kama pete na kidole
MuchanaHabari za asubuhi waungwana. Ni siku mpya tena ya kuwajibika.
Leo nimeamka na mzuka wa kusikiliza nyimbo za huyu mwamba, aliyetikisa miaka ya 90. Alibamba na nyimbo kama Elizabeth, inde monie, moninga etc.
Alipata umaarufu sana, sijui yuko wapi huyu mwamba siku hizi!
😀Nakumbuka alivyowika na vibao vyake nikiwa mdogo mara tuimbe inje monie, mara inde mornie basi mradi tumeimba! Nyimbo zilikuwa nzuri sana kanda bongoman karibu kila nyumba ilikuwa na ile cassette
MuchanaHabari za asubuhi waungwana. Ni siku mpya tena ya kuwajibika.
Leo nimeamka na mzuka wa kusikiliza nyimbo za huyu mwamba, aliyetikisa miaka ya 90. Alibamba na nyimbo kama Elizabeth, inde monie, moninga etc.
Alipata umaarufu sana, sijui yuko wapi huyu mwamba siku hizi!
Mie naupenda Sana Elizabeth na moninga,ngoma Kali Sana zileMuchana