Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Kanali Mstaafu, Joseph Simbakalia, amewahimiza viongozi wa serikali barani Afrika kutanguliza mbele maslahi na ustawi wa wananchi bila kuathiriwa na itikadi za vyama vya siasa au misingi ya kidini.
Amesema kuwa ili nchi za Afrika ziweze kusimamia ipasavyo maslahi ya watu wake, viongozi wanapaswa kuzingatia uadilifu na kuwajibika kikamilifu katika nafasi zao za uongozi kwa lengo la kuhakikisha maendeleo endelevu kwa wananchi wanaowaongoza yanapatikana.