Kanali Lubinga amrithi Migiro Ukatibu wa NEC CCM

Broo hakuna cha ukada wala nini. Cha mhimu ni ulaji na opportunity tu, hata Lissu akiwa assured kwamba hawamtanii na wakamteua kuwa mwanasheria mkuu wa serikali inayoongozwa na CCM hatathubutu kukataa na leo hii anakuwa kada wa kijani. Kumbuka mdada fulani alikuwa CCM lakini alipewa ubunge viti maalumu cdm kupitia nafasi za EDO na hakukataa. Broo pengine ni aibu tu ya kuona ni wapi mtu ataficha uso wake lakini hata mbowe akihakikishiwa cheo kikubwa chenye madaraka ya maana hachomoi. Suala la ukada ni sawa tu na koti, anytime unalivua na kuvaa jipya. Kwani mbona EDO alipohakikishiwa kugombea urais kupitia cdm atakwenda faster? au unafikiri huyo ni kada wa cdm?
Mkuu umenena haswa yaan siasa za Bongoland hazinaga itikadi zaidi ni tumbo tu lishibe na V8 la maana hakuna cha Lissu wala Mbowe
 
..ameondoka lini jeshini?

..hata kama hakuna sheria iliyovunjwa ktk uteuzi huu , lakini nadhani inaleta picha mbaya ya muingiliano kati ya jeshi na ccm.

..kwa uteuzi huu, je ni RUKSA kwa vyama vya siasa kusaka wanachama ktk majeshi yetu?
Mkuu watu wengine ni wa Idara,wanakopwa toka idarani kwa kazi maalum,hata chadema ikibahatika kuingia madarakani lazima ichukue kwa mkopo watu fulani wa idarani kwa ajili ya mambo fulani fulani ya kuweka link kati ya serikali na chama kinachotawala.Muulizeni sumaye kasema kaja chadema kuwafundisha jinsi ya kuendesha chama na nchi chadema wakishika dola
 
Hivi kumbe maaskari wote ni makada WA chama tawala? Now I understand

Mkuu refer zile video Za vita ya uganda utajua chama cha Mapinduzi Na jeshi la wananchi wana ideology moja. "Zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm" wanajibu zidumu. Hicho kizazi bado kipo sana kama unavyo ona. Ndo maana kule Zanzibar mliitwa kwa uchaguzi mliposhinda mkaambiwa hapana Mapinduzi hayapinduliwi kwa karatasi na kalamu. Walio elewa walikaa chini na kutulia tuli.
 
Marehemu John Komba, Chiligati, Yusufu Makamba, Ngwilizi, Mwenyekiti wa bunge "Zungu" hata Lowasa naye aliondoka akiwa Luteni.
Jeshini kulikuwa na Wahindi? makubwa... nakumbuka Shuleni wadosi walikuwa na chawa kichwani!;)
 
Mhh niliota ndoto moja hivi usiku wa kuamkia leo ,ila uteuzi huo ni mzuri na umezingatia sheria za chama na una manufaa kwa nchi nzima kiukweli napenda teuzi za mkuu.
 
Huyu mtu ni mtu asiefwata sheria kabisa. ni mtu wa mabavu na vitisho, kwahiyo ni mtu anaetumia nguvu kuliko akili.
kama mnabisha fwatilieni taarifa zake wakati wa lile sakata la kuibiwa kifaru cha jeshi ndipo mtagundua kuwa CCM imekula wa chuya. Badala ya kupata imepatikana si mtu wa kujenga hoja na kutoa mwelekeo, wala mwenye ushawishi kitu ambacho ni muhimu sana ktk siasa bali yeye ni mabavu ,vitisho na kutokufwata sheria.
 
..ameondoka lini jeshini?

..hata kama hakuna sheria iliyovunjwa ktk uteuzi huu , lakini nadhani inaleta picha mbaya ya muingiliano kati ya jeshi na ccm.

..kwa uteuzi huu, je ni RUKSA kwa vyama vya siasa kusaka wanachama ktk majeshi yetu?

Ahaaaaaa.... mbona wazungusha mikono waliwekeza sana huko Jeshini?
 
Jeshini kulikuwa na Wahindi? makubwa... nakumbuka Shuleni wadosi walikuwa na chawa kichwani!;)

..yes.

..tena wa cheo cha kanali.

..mmoja ni Col.Kashmiri na mwingine nimemsahau jina.

..hata polisi na magereza walikuwepo wahindi mpaka late 60s and early 70s.
 
..yes.

..tena wa cheo cha kanali.

..mmoja ni Col.Kashmiri na mwingine nimemsahau jina.

..hata polisi na magereza walikuwepo wahindi mpaka late 60s and early 70s.
Polisi yah kuna Mmoja alikuwa akiishi pale Selander Mgoa.

Ila hao wa Jeshini am sure waliunganisha kutoka jeshi la mkoloni maana hamna namna nyingine wao wamezoea pesa tu hata shuleni kwao wao husomea namna ya kupata pesa tu au kuzizalisha ili waishi maisha mazuri tunayoyaita maisha ya kidosi
 
CCM YA KINA HUMPHREY POLE POLE NA KINA KANALI LUBANGA [ambaye kikatiba hatakiwi kuwa mwanachama wa chama chechote .......so ina maana hiyo kadi yake itabidi ndio akate au akalipie ile ya mwaka 1992 enzi akiwa Luteni .....[sijui katiba ya ccm inasemaje] ...ni muendelezo ya Chama kipya cha siasa kufunguliwa kwa jina la CCM ........inashuhudiwa watu ambao hata haiulikani kama walikuwa na kadi za chama na wengine walikuwa wana harakati ..kama ambavyo mwenyekiti anachukuliwa naye ni mgeni ndani ya chama na hakawahi hata kuwa balozi [ref mwandosya statement].

Waliokaa kimya wakati demokrasia ya vyama vingi inabakwa ndani ya vyama vingine ...LEO DEMOKRASIA IMEVUNJWA VUNJWA NDANI YA CHAMA CHAO NA KULETEWA UGALI MEZANI NA KUTAKIWA KUUPITISHA UKIWA UMEPIKWA NA CC AMBAYO KIMSINGI IMESHASAMBARATISHWA ...WAMEAMBIWA HOJA HII IMESHAKUBALIWA NA"CC" KWA HIYO MNATAKIWA KUIPITISHA

leo demokrasia ndani ya ccm imepunguzwa kwa wawakilishi wa wananchi kupunguzwa kwa kasi ya ajabu ....asiilimia 50% ya wana NEC wamepigwa chini ,na asilimia 35% ya CC ..Na asilimia 50% ya viongozi wa chama kuanzia mikoa hadi tawi ....waanajikuta nje ya mfumo .......sijui wajumbe wa mkutano mkuu wataenda kubakia wangapi ,ila nina uhakika watapungua kubakia idadi ambayo ni rahisi kabisa kudhibitika na ambao ni rahisi uaminifu wao kwa mwenyekiti kuwa monitored ...ile hofu kama aliyokuwa nayo JK ya kuihofia NEC au Mkutano mkuu inapungua sasa .......ukizingatia hata hiyo idadi ya vikao imepunguzwa ...mwenyekiti wa sasa atakuwa na kazi na hofu ndogo zaidi

Lakini kwa tathmini kunayo hasara hapa ....Mfumo wa ccm uliandaaa idadi kubwa sana ya wanasiasa wanaoishi kwa kutegemea siasa ambao hawa kama alivyosema wasira hawajui kufanya biashara yeyote zaidi ya siasa ....na leo ghafla wanaamka kesho kujikuta hawana kazi au hawaijui kesho ...tutegemee hawa kuisumbua sana ccm kipindi hiki ...na wengi wao itawabidi watafute waajiri wapya miongoni mwa vyama kwa kuwa siasa kwao ni kazi
 
Hivi wewe ndie Mbowe?
 
Jina langu si hili ....au ndio umetumwa ..mnaumia sana kutaka kuwajua watu ??? wako watu 400,000 humu ndani ...ukishawajua utawafunga kwenye mahakama za wazi na kesi za halaiki ??
Hapana Mkuu acha Uoga kama unafanya Makosa na hutaki kuacha jela kwa watu 400,000 si issue na maamuzi ya sasa ukikaa jela chakula lazima ukizalishe shida wapi na mchujo ni rahisi tu mbona fine fine atakayeshindwa analo watapungua tu...

Nimekuuliza Sababu yanafanana na majina halisi ya mzee wa Gia au Kata Funua...

Kweli JF imani ishapotea... na ndipo utaelewa Watanzania ni Waoga mno ukiwa twist kidogo wote wanakimbilia ndani chumbani.... Hiyo Mipango ya cdm inayopangwa kila day its like comedy tu Serikali ni ngumu kupambana nayo kuhusu mitanda ni sababu watu wanaharibu vizazi vijavyo... Hamuangalii kujenga nchi nyie mnawaza kubomoa tu mngekubali kushirikiana kujenga nchi mngeeleweka... na tatizo lenu hamjui kukili Anzeni kwanza kuomba Msamaha Dr. Shein mlipomzomea Bungeni mfikiriwe na hilo au mlidhania mkajiona Wajanja Sana like mnafanya mtakacho tu eenh
 
Back
Top Bottom